Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,441
- Thread starter
- #41
View attachment 84993mbunge wa mbeya akiongea
picha please, ikiwezekana mtupie kabisa video baada ya mkutano ili na sisi tucheki ambao tumekosa fursa ya kuja huko.
Mawmupamba amekubali M4C, analia, niko nae karibu.View attachment 85016Mheshimiwa Mbowe akikusanya pesa kwa wananchi
Yeah - Lakini - Kuna Mvua inaendelea kunyesha hapa jijini Mbeya (CCM waloga)! -
tunawaomba wazungumzie issues na si kuwazungumzia watu.
tunawaomba wazungumzie issues na si kuwazungumzia watu.