Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,617
- 287,350
- Thread starter
- #21
Aliyepuuzwa unamtumia na polisi wamkamate?.mnaoangaika na aliyepuuzwa ndiyo wapuuzi namba moja.
Aliyepuuzwa unamtumia na polisi wamkamate?.mnaoangaika na aliyepuuzwa ndiyo wapuuzi namba moja.
Mikutano hii haina postive impact kwake kwa sasa,angalia anavyopuuzwa,watu hakuna kabisa,mpaka muedit picha, hapa namuangalia live youtube ana watu kumi tu. Kwisha habari yake
Wapokee hizo pesa kwanza ni kodi za Watanzaniaziara za rais ni sawa na kampeni, ila tumezibadili jina tunaziita 'ziara'
mkulu inasemekana atakuwa na ziara mwezi wa tatu mikoa ya kaskazini kwa kipindi cha mwezi mmoja. maana huko hajapita kabisa kufanya ziara toka awe prezidaa. na vyanzo vya chini ya kapeti upinzani wajiandae kuona madiwani wao kutokea km yale ya mbeya
😆😆😆😆Sasa kama hana watu kwa nini msimuache ahutubie majani,kama hana watu polisi wanamsumbua wa nini,unaweza ukamsumbua mtu ambae hana impact yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app