Mbowe endelea kuwepo chadema ninakuamini kwasbbu nguvu yako ya ukoo imewafanya ccm washindwe kukuua,kukuteka,kkuon'ga,kukutishia lakini ukitoka kwenye uenyekiti tumekwisha chadema,make sioni ambaye atakuwa mbabe kama wewe kupamban na chama ambacho viongozi wake kama akina anna makinda toka ana umri Wa miaka 17 yuko system mpaka leo na hijulikani ni lini watarudi shambani na walime kamA .makabila mengine nchi hii ni waoga WANa njaa na ndio maana wanaon'geka kama akina Kitila,mwigamba,zitto,dovutwa,cheyo wwana njaa waoga,wanaogopa kulala rumande,big up Mbowe kamanda,watajibeba ccm,act.