Mh. Mbowe asome alama za nyakati

Mh. Mbowe asome alama za nyakati

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Ni ushauri wa bure kwa Mbowe kusoma alama za nyakati na kung'atuka km alivowahi fanya mwl Nyerere. Ni wazi sasa kunakelele nyingi juu ya mwenyekiti kufanya"anything" at any cost ili aendelee kubaki kama mwenyekiti.

Ni wakati sasa Mbowe kusoma alama za nyakati.
 
...lumumba inaharisha ikisikia jina la mbowe na ukawa,kaulimbiu ni mpaka kieleweke...
 
Mtei ndiye aliyemweka Mbowe madarakani, na ndiye mwenye mamlaka ya kumtoa hapo!
 
Mbowe ameshasoma alama za nyakati kuwa anahitajika sana kuendelea kuongoza mapambano ya mwisho ya kumng'oa nduli of our times aitwaye CCM!!!
 
Badilisheni technique za kuikabili CHADEMA hii imebuma.Ni ushauri tu lakini
 
Eti mbowe azingatie ushauri toka lumumba? Kwa mapenzi gani mliyonayo magamba kwa CDM? Mtahangaika sana lakini cdm ipo imara chini ya Mbowe.Tunahitaji viongozi wakakamavu,wenye kujiamini na wasionunulika kama Mbowe.Long live Kamanda wa anga ambaye magamba wakisikia jina lako tu mavi yanagonga chupi!
 
Badilisheni technique za kuikabili CHADEMA hii imebuma.Ni ushauri tu lakini

cdm hawaiwezi,wao wamekalili mbinu zilezile walizotumia kuua nccr eti wazitumie na kwa cdm! Wanachekesha sana hawa mawakala wa chama chakavu!
 
ni ushauri wa bure kwa mh.kusoma alama za nyakati na kungatuka km alivowah fanya mwl nyerere. ni wazi sasa kunakelele myingi juu ya mwenyekiti kufanya"anything" at any cost ili aendelee kubaki km mwenyekiti. ni wakati ss mh kusoma alama za nyakati

Nitamsifu sn akipokea ushauri huo

Ni lini ZITTO atapewa uenyekiti wa ACT?
 
Nimekusoma mkuu m/kiti mwenyewe yupo tengeru na huyu tunaemuona ni mbeba koti.

Mheshimiwa Dr. Kitila Mkumbo, naomba utuletee katiba ya chama cha waasi ACT ili tuichambue kwa pamoja.
 
mbowe ameshasoma alama za nyakati kuwa anahitajika sana kuendelea kuongoza mapambano ya mwisho ya kumng'oa nduli of our times aitwaye ccm!!!

kweli wee kipofu kusoma ujui picha nayo taabu kangoe mbuyu wa bagamoyo ukiwez ndio ccm mtaitoa
 
ni ushauri wa bure kwa mh.kusoma alama za nyakati na kungatuka km alivowah fanya mwl nyerere. ni wazi sasa kunakelele myingi juu ya mwenyekiti kufanya"anything" at any cost ili aendelee kubaki km mwenyekiti. ni wakati ss mh kusoma alama za nyakati
Sisi wajumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA kutoka Mkoa wa Pwani tunaamini kuwa Viongozi wetu ni shupavu na wana weledi mkubwa katika masuala ya uongozi. Ndani ya uongozi wao CHADEMA imeweza kusambaa nchi nzima na kuwa na wanachama katika Mikoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Vijiji, Mitaa na Vitongoji, tumeongeza idadi ya wabunge kutoka 4 na madiwani 42 mwaka 1995 hadi wabunge 5 na madiwani 74 mwaka 2000, na kutoka wabunge 5 na madiwani 74 hadi wabunge 11 na madiwani 102 mwaka 2005, na kutoka wabunge 11 na madiwani 102 hadi kufikia wabunge 49 na madiwani 520 huku tukiongoza halmashauri kadhaa mwaka 2010. Kwa ubunifu wa viongozi wanaoitwa wameshindwa kazi, tumeanzisha program ya CHADEMA ni Msingi ambayo inakipelekea chama kuwa na mtandao mkubwa na kuweza kukabiliana na hila za CCM mpaka kwenye mizizi. LUMBWA MSALANI
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom