mh mbowe akihutubia songea

mh mbowe akihutubia songea

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
mh mbowe akimmadi mgombea udiwani kwa tiketi ya chadema
 

Attachments

  • chadema.jpg
    chadema.jpg
    79.5 KB · Views: 215
Mwekiti wa taifa, kampeni za udiwani? Akina Heche wanafanyaga kazi gani?
 
Mwekiti wa taifa, kampeni za udiwani? Akina Heche wanafanyaga kazi gani?

ungejua mbowe katoka wapi...wala usingesema hayo..! kwanza hao ndo wapiga kura miaka mitano ijayo..! HAKUNA MILIONI BILA MOJA!
 
HAKUNA MILIONI BILA MOJA!

Kila siku moja tu, upinzani una miaka kumi na tisa sasa hivi lazima waanze ku act kama viongozi vyama vyama vyenye miaka 19, kampeni za udiwani pelekeni wakina Heche.
 
hata mbuyu ulianza kama mchicha kinachosomeka hapo ni kwamba Mbowe anapandikiza mbegu ya uanamapinduzi kwa hao unaowaona nyuma yake
 
Mwekiti wa taifa, kampeni za udiwani? Akina Heche wanafanyaga kazi gani?

Chama kinachojinadi kuwa na wanachama zaidi ya vyama vyote kinapeleka watu zaidi ya mia moja kumkampenia Kafumua tu?? Ukomavu uko wapi hapo utasikia mwenyekigoda wa taifa anaenda kuhitimisha kampeni mmmh bado polisi, usalama wa ccm na vyombo vyote vya kinyonyaji vinatumika kunyonya wapiga kura huko Igunga huu ndiyo ukomavu.
 
popote kwenye msiba sheikh ndo amawakumbusha mambo mazuri ya MUUMBA sasa aijalishi msiba wa mtoto,mkubwa au mzee na aijalishi anaekumbusha ni Ostadh,sheikh au mufti umeelewaa? Amkeni waTZ
 
Back
Top Bottom