Duh!! yaani mamvi amejitahidi kukaba kila sehemu na huku kwenye mitandao ameajiri vijana wengi kweli kwani ukianzisha tu thread inayomuhusu mamvi wanaishambulia kweli kweli lakini kinachosikitisha hawafuatilii kauli za Nape kwani ameseme atajitahidi kuhamasisha vijana na kuhakikisha kiongozi anayetaka uongozi kwa kununua watu hapewi nafasi ndani ya CCM