Mh. Magufuli aunguruma Mbeya Mjini

Mh. Magufuli aunguruma Mbeya Mjini

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]MAGUFULI AUNGURUMA MBEYA MJINI[/h]

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa mikutano wa Rwanda Nzovwe, Mbeya.




​


Wananchi wa Mbeya mjini wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ambao mgombea wa Urais
​


​
Mtiti wa wakazi wa Mbeya kwenye mkutano wa CCM ambao mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM DK. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mbeya mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo aliwaambia anagombea Urais ili aweze kuwatumikia Watanzania na kusogeza maendeleo mbele kwa kasi kubwa.
​
Nyomi la wakazi wa Mbeya mjini waliojitokeza kumsikiliza Dk. John Pombe Magufuli.
​
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. William Lukuvi akihutubia wakazi wa Mbeya mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.
​
Kada wa CCM Dk. Kasesela akihutubia wakazi wa Mbeya kwenyye mkutano wa hadhara ambao aliwaambia wasihadaike na maneno ya wapinzani kwani wao wamezoea kusema wakisemwa wao ndio wameonewa.
​
Shilole akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM mkoani Mbeya.
​
Matonya akitumbuiza kwenye mkutano wa CCM ,mkoani Mbeya.
​
Msami akionyesha love kwa CCM mkoani Mbeya.
​
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, akihutubia wakazi wa Mbeya Mjini ambapo aliwaambia yupo tayari kuitetea nchi hii dhidi ya mafisadi.


​
Mbunge wa viti maalum (ccm) mkoa wa Mbeya, Dk.<wbr>Mary Mwanjelwa akihutubia wakazi wa mji wa Mbeya kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Rwanda Nzovwe.
​
Shetta katika ubora wake kwenye mkutano wa CCM Mbeya.
​


Read more »
 
Ndiyo mlisema mafuriko! Kawaida sana hii. Subirini Rais mteule Lowassa akanyage hapo. Ni Haile Selassie wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom