illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,119
Yaani hutaki wenzako wajenge?
Hhutaki wenzako wauze viwanja walivyonunua kwa hela zao?
Hiyo migogoro inakuumiza vipi au inakuhusu vipi wewe?
We umesema wivu tu unamsumbuaYaani hutaki wenzako wajenge?
Hhutaki wenzako wauze viwanja walivyonunua kwa hela zao?
Hiyo migogoro inakuumiza vipi au inakuhusu vipi wewe?
Mh nivumilie kweli nimekuwa nakuandama lakini ni kwa wema tu, siku za hivi karibuni ulitoa agizo kuwa ni marufuku kujenga, kuendeleza kuuziana maeneo yote yasiyopimwa, nadhani ulikuwa na lengo zuri tu katika kuzuia migogoro ya ardhi ambayo ipo mingi na inazidi kuibuka kila kukicha.
Sina uhakika kama agizo hili ulilitoa kisiasa ama ulidhamiria kwa sababu huku pembezoni watu bado wanauziana na ujenzi unaendelea kama kawaida kwa baraka zote za serikali ya mitaa, hawa wenyeviti wa serikali za mitaa ni kero na ni chanzo kikubwa sana wa migogoro wakishirikiana na watendaji wa halmashauri wasio waaminifu.
Inasikitisha sana kuona serikali inapambana na mipango miji wakati watu wanazidi kuuziana maeneo holela na kujenga holela sijui lengo ni nini hasa.....nawasilisha
Sijui unachotetea ni nini binafsi nimeshabomolewa nyumba, jaribu kuangalia post zangu za nyuma za malalamiko nimejidunduliza tena nashindwa kununua kwa hofu hii ambayo niliipata, waziri amepiga marufuku kuuza na kununuà ardhi isiyopimwa inanilazimu niendelee kukaa nyumba ya kupanga nawaonea huruma wale wanaondelea kuuziana na kujenga maeneo ya nje ya mji siku bomoa ikija......Sasa wao wakibomolewa kutokana na uzembe wao wa kujua au kutokujua wewe inakuuma nini?
Kwa ulivyoandika si kuwa unawaonea huruma hao watu bali naona ni kuwa unawaonea wivu wao wanauza
Mh nivumilie kweli nimekuwa nakuandama lakini ni kwa wema tu, siku za hivi karibuni ulitoa agizo kuwa ni marufuku kujenga, kuendeleza kuuziana maeneo yote yasiyopimwa, nadhani ulikuwa na lengo zuri tu katika kuzuia migogoro ya ardhi ambayo ipo mingi na inazidi kuibuka kila kukicha.
Sina uhakika kama agizo hili ulilitoa kisiasa ama ulidhamiria kwa sababu huku pembezoni watu bado wanauziana na ujenzi unaendelea kama kawaida kwa baraka zote za serikali ya mitaa, hawa wenyeviti wa serikali za mitaa ni kero na ni chanzo kikubwa sana wa migogoro wakishirikiana na watendaji wa halmashauri wasio waaminifu.
Inasikitisha sana kuona serikali inapambana na mipango miji wakati watu wanazidi kuuziana maeneo holela na kujenga holela sijui lengo ni nini hasa.....nawasilisha
Na ndio haohao wanakwamisha maendeleo ya nchi, sheria ikifata mkondo wake wanalalama ooh tunaonewa
Uko sahihi kabisa, NHC ambao walipewa jukumu la kujenga nyumba mijini kwa ajili ya kupangisha wafanyakazi na watu wa kipato cha chini imegeuka kuwa ya matajiri. Watu wakijihangaikia wapate walau pa kujisitiri wanakuja kubomolewa, huwa najiuliza hii nchi kama kuna watu wanatumia akili zao vizuriH
Hivi uko serious kweli?
mwenye wajibu wa kupanga mji ni nani? je ni serikali au ni wananchi? sasa kama mwenye wajibu wa kupanga mji hapangi unadhani maisha ya wananchi yanasimama.
Waziri na mtoa mada wote mna fikra sawa!
dawa ya kupanga miji ni kwa serikali kupanga na kupima viwanja vingi kuliko mahitaji ya wananchi ya wakati huo na ndio hapo serikali inakuwa na uhalali wa kupiga marufuku kujenga sehemu zisizopimwa. Mbali na kupima viwanja vingi zaidi inatakiwa viwanjo hivyo vipatikane kwa bei zinazoendana na vipato vya watu.
Tujiulize mwaka wa 2016/17 serikali katika jiji la Dar imepima viwanja vingapi? na je mahitaji ya watu yalikuwa kiasi gani? na ukiona tofauti utajua ni nani anayesababisha makazi holela.
Mh nivumilie kweli nimekuwa nakuandama lakini ni kwa wema tu, siku za hivi karibuni ulitoa agizo kuwa ni marufuku kujenga, kuendeleza kuuziana maeneo yote yasiyopimwa, nadhani ulikuwa na lengo zuri tu katika kuzuia migogoro ya ardhi ambayo ipo mingi na inazidi kuibuka kila kukicha.
Sina uhakika kama agizo hili ulilitoa kisiasa ama ulidhamiria kwa sababu huku pembezoni watu bado wanauziana na ujenzi unaendelea kama kawaida kwa baraka zote za serikali ya mitaa, hawa wenyeviti wa serikali za mitaa ni kero na ni chanzo kikubwa sana wa migogoro wakishirikiana na watendaji wa halmashauri wasio waaminifu.
Inasikitisha sana kuona serikali inapambana na mipango miji wakati watu wanazidi kuuziana maeneo holela na kujenga holela sijui lengo ni nini hasa.....nawasilisha
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/23035-ujenzi-maeneo-yasiyopimwa-marufukuMtoa mada nisaidie muktadha wa hili agizo kama kweli lipo. Nami nipate kumshangaa waziri Lukuvi
Asante mkuu, tafsiri yake ni kwamba sekta ya ujenzi sasa itakuwa tegemezi kwenye zoezi la upimaji ardhi nchi nzima..
Hii wizara haijawahi muacha mtu salama.Asante mkuu, tafsiri yake ni kwamba sekta ya ujenzi sasa itakuwa tegemezi kwenye zoezi la upimaji ardhi nchi nzima..
Kweli hapa kazi tu!