mckenzie
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 344
- 139
Tumekuja, ANGALIA MAJIBU YA KINA
Subiri friends wake waje humu, utajuta kuandika hii maneno.
Subiri friends wake waje humu, utajuta kuandika hii maneno.
Membe big No labda tumtafakari Mangula maana hata CCM ilipo mtupa hata kwenye nafasi ya Udiwani alieendea kuwa mtiifu na Mwaminifu na baadaye walicyomrudisha walau Chama kina adabu.Naungana na mtoa hoja na hoja yake pia. Watu humu hawaangalii amesema nini wanaanza kuelezea biblia; ni akili ndogo. Lowasa hafai kuwa kiongozi nje ya Monduli ambako nahisi watu wa huko anafanana nao.
LOWASA NI MWIZI MKUBWA. Naomba mumtafakari MEMBE
Ndugu usiwe kama mjinga, ila uwe mwenye hekima na kuona mbali. Nitakujibu kwa mafumbo.
Hivi umekaa na mkeo miaka 30 ktk ndoa hv unaweza mpandisha mahakaman kwa mambo yanayohusu unyumba wenu?
Nimeandika hii habari baada yakuona watu wanampamba Lowasa kama masiha ajaye, mkomboz na mtetezi wa wanyonge wakimsahau Mh Lowasa kwa vitendo vyake vyakinyonyaji na ukandamizaji akitumia udhaifu na ujinga wa watanzania kujitwalia umaarufu. Tufike mahali tuseme No kwa Mh Lowasa. Watanzania tumechoka.
Membe big No labda tumtafakari Mangula maana hata CCM ilipo mtupa hata kwenye nafasi ya Udiwani alieendea kuwa mtiifu na Mwaminifu na baadaye walicyomrudisha walau Chama kina adabu.
Ndungu wana jf na watanzania wote kwa ujumla napenda kuwa ambia Mh Lowasa sio Masiha ajaye.
Sisi wakristo tunajifunza ktk neno la Mungu yakuwa "MUNGU ANAWASHUSHA WENYE VIBURI NAKUWAINUA WANYENYEKEVU AMA WALIOJISHUSHA"
Mh Lowasa hata kabla yakuanza safari yake yenye matumaini alisha jiaminisha kwa pesa,mali na ushawish alio nao lazima yeye ndie Rais ajaye yani Masihi, tena akamuona mwenzake kama hafanyi kitu ila yeye ndio anaweza akawa anawatisha watu serikalini huku akijuwa yeye sio msafi na wakati huo neno linasema toa kwanza boriti ndipo utoe kibanz ktk jicho la mwenzako. Mh Lowasa kwakuwa Mungu anawachukia wenye viburi, hakika hukumaliza uwaziri wako mkuu na sasa unataka kuuwaminisha umma wote wa watanzania ulijiuzulu kisiasa wakati ukijuwa kweli ulikamatwa pabaya.
Napenda kusema mh Lowasa Anapaswa kujuwa Mungu hapokei rushwa wala sadaka chafu na anasema kamwe Roho yake haitoshindana na mwanadam na wewe ni mwanadam hivyo kamwe huwezi shindana nae, imefika wakati nikwambie hufanani na Masiha yeyote amewahi tokea ktk dunia hii.
Kuna watu wanakuita Daudi.
Napenda kusema hawa ni watu wasio mjuwa Daudi kijana alie kuwa shupavu na jasiri na kama wewe ungekuwa Daudi dalili ya kwanza nikukaa msituni na kondoo wa baba yako ufuwatwe na manabii kukumwagia mafuta uwe mfalme wetu, kinyume chake wewe umenunua mafuta nakujitaidi kuwaonga manabii wakupake mafuta uwe mfalme.
Sikiliza nikwambie mh Lowasa nikweli watakumwagia ndoo nzima yamafuta, ila wewe hutokuwa masihi ajaye maana Bwana anasema hakuwa nao ktk ibada zao.
Mfalme Daud aliuogopa ufalme ila wewe unautaman asubuh,mchana na usiku jambo hl limekufanya kuwa mbal na Bwana kiasi wapigana vita vyako peke yako Bwana hayupo.
Itafakari njia unapita ikiwa kama upo njia sahihi kisha upite nakusonga mbele.
Asante.
Ina maana hujui Richmond ilikuwa ya nani? EL alijiuzuru kunusuru nchi ndugu yangu, umeona kesi ya Richmond iliishia wapi? Si imeuzwa tena kwa mapesa mengi ajabu, na nani kanunua? Si ipendi CCM Lakini kati ya wote nadhani EL angali anafaa kuongoza nchi hii. Na kama ni CDM tunaye Wil SlaaMh Membe tunasubiri muda ufike tuweke tiki uingie ikulu y Magogoni. Huwezi mlinganisha Membe na mzee wa richmond