Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Halafu watu wengine wanasema ati huyo Mkuu ana afya mgogoro na kuwa anangojea kufa. Mtakufa na mtamwacha our next Prezidooo,
Aksante paparazi kwa kutuletea habari hii. Tujiandae kisaikolojia kumpokea magogoni. Ila, aelewe kuwa anahitaji mazoezi zaidi kumshida Dr Slaa
 

Unatuletea picha ya mwaka 2007
 
Asubuhi ya leo kipenzi cha watanzania na mkombozi wao ameonekana akifanya mazoezi ambayo ni sehemu ya utamaduni wake wa kila siku,tafsiri nyepesi ni kwamba mh. Lowassa anapiga jaramba kwa ajili ya kuingia magogoni 2015 wale wenye roho za husda na kuzusha kaeni tayari kwa kimbunga.

 
Ha ha ha ha.......mpiga hiyo picha ungegeuza camera kwa nyuma kidogo tuone kama Hapakuwa na ambulance ikimfuata Mheshimiwa kwa nyuma ili hata likitokea lolote......si nasikia Kamanda hayupo full ngwamba kiafya......
 
Hapo lowassa anapiga kimya kimya lakin wapinzani wake hawapati usingiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…