Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?-Trekta ipo na linafanya kazi. mwaka jana limewasaidia wananchi wasiojiweza kwa kuwalimia mashamba yao. Kwakuwa unakaa kijiweni huna shamba lingekuja kukulimia kwenye karai?
- Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
- kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
- Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.

Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?
- Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
- kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
- Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.

Huo Mpango wa WB ulikuwepo hata kabla Lema hajafikiria kugombea ubunge! hata angeshinda Mbunge wa TLP hapa Arusha, barabara zingejengwa tu! Lema hana uwezo wa kuilazimisha WB itoe hela ya ujenzi wa barabara!
Barabara ipi,kwa kiwango gani,urefu gani,source of fund na aliziomba wapi? barabara zote zinazojengwa zipo chini ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi.Sisi wapiga kura wake tunajua Mbunge wetu ametekeleza moja ya ahadi zake alizoahidi wakati wa kampeni. Aliahidi kujenga barabara na barabara zimejengwa FULL STOP!!!!
muulizeni LEMA ile machinga complex vp?
Shame on You.
By MSALANI
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
- Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
- kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
- Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?-Trekta ipo na linafanya kazi. mwaka jana limewasaidia wananchi wasiojiweza kwa kuwalimia mashamba yao. Kwakuwa unakaa kijiweni huna shamba lingekuja kukulimia kwenye karai?
Kutokana na majibu mazuri hapo juu, Tunaoifahamu Arusha vizuri Toka MB Lema aingie uongozini Arusha imebadilika sana ukilinganisha na awamu zingine zote. Na mabadiliko haya yameletwa na ujasiri mkubwa wa MB Lema na Chadema kwa ujumla. Kwakuwa serikali iliopo madarakani ni legelege basi Arusha tukaamua kumweka kamanda madarakani na kiukweli mziki wake magamba uliwashinda na barabara za lami kila kona kwa sasa.
Tafakari sana kabla ya kuja humu na bichwa lako utadhani una akili kumbe umebeba tu.
AMA UMETUMWA NINI?
Sisi wapiga kura wake tunajua Mbunge wetu ametekeleza moja ya ahadi zake alizoahidi wakati wa kampeni. Aliahidi kujenga barabara na barabara zimejengwa FULL STOP!!!!
nenda bwawa la mavi huko
Tunazungumzia Ahadi za Mhe.Godbless Lema. Mbunge wa Arusha Mjini. Mbona mnakwepa? au unazi wa chama umewafunika ipasavyo!? Machinga Complex aliyosema anaijenga Pale stendi iko wapi?Ila msisahau na ile meli Kikwete alioaidi ARUSHA alipokuwa kwenye kampeni zake ktk kiwanja cha Shekh Amri Abeid Karume wakati anamnadi mama Batilda Buriani. Ila sijui aliambiwa arusha kuna bahari, kwasababu huyu Mkuu wa Kaya yetu huwa apendi kushuulisha akili yake, yeye anategemea kuambiwa tu.
Tunazungumzia Ahadi za Mhe.Godbless Lema. Mbunge wa Arusha Mjini. Mbona mnakwepa? au unazi wa chama umewafunika ipasavyo!? Machinga Complex aliyosema anaijenga Pale stendi iko wapi?
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?
- Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
- kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
- Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
CCM wana ilani ya wiziBarabara ipi,kwa kiwango gani,urefu gani,source of fund na aliziomba wapi? barabara zote zinazojengwa zipo chini ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi.
hapo mwisho si ungemalizia na neno LEMA.
KWELI KABISA Simiyu Yetu , Lema alitudanganya wana arusha wazi wazi! Badala ya kujenga MACHINGA COMPLEX kajenga li-bungalow kule Njiro!