Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

kingine kilichonisisimua kwenye uzi huu ni jina lako !
 
Halafu katoka na mpya ya kuweka umeme shule zote za Sekondari za Kata! Heri awe anasafiri na kukaa huko nje, maana akishinda hapa nyumbani haishiwi vioja.

wewe acha kujifariji kujitekenya na kucheka mwenyewe vipi machinga complex na trekta tayari vipo arusha au tusubiri baada ya yale maandamano ya kushindikiza uchaguzi wa diwani ufanyike haraka maana muda anao bado miaka miwili
 
Acha Porojo, sijakwambia ulinganishe ahadi za LEMA na JK? Machinga Complex iko wapi? na Lile Trekta Liko wapi?

Trekta si lipo kwa Mama yako!? Ccm mmeongoza kwa miaka 50 lakini hadi leo wanafunzi wanakalia mawe km viti darasani mbona usizungumzie hilo!?
 
...msalani=chooni=kiny.esi...ptuuu..!
 
...msalani=chooni=kiny.esi...ptuuu..!

Wapi Machinga Complex? wapi Stendi Mpya Ngulelo? wapi Trekta? wapi Mikopo kwa vijana? wapi Mikopo kwa kinamama? wapi Hospitali ya mama na mtoto? wapi gari la wagonjwa? wapi Helkopta ya M4C? haya endelea kutukana Gefu
 
Last edited by a moderator:
wahi buku zako saba lumumba,lema mpaka aseme basi tutamchagua hata asipofanya chochote mbulula ww aliyekutuma mwambie leo sio saizi yake.
 
tutakutana 2015 lazima avae ndala mpe salam zake.
 
we ----- nini kwani LEMA anatoa hela zake mfukoni kama Jiji linaloongozwa na Meya wa MAGAMBA ambaye anakataa kukubali mipango endelevu ya Mbunge we unafikiri mambao yataenda?we ngoja subiri uone hawa madiwani wapya watakavyochapa kazi.
 
Hivi yale maneno ya jk ya Maisha bora kwa kila mtanzania, mbona siyasikii akisema siku hizi?
 
Duh!

Jina lenyewe MSALANI!! Ngoja nikalale mie.
jibuni hoja sio kujifanya hamuoni kinacho zungumziwa....haya hata kama angeitwa godfrey ndo kingebadilisha hicho alichokiogea ? amkeni nyie
 




Mungi hawa jamaa Ni wepesi WA kusahau... Kwanzaa hiyo machinga complex jakaya aliiahidigi mbeya mwanza tanga NA ARUSHA iweje leo adaiwe LEMA? ?? Magamba vishoka sana... kuhusu trecta lipo NA linafanya kazi... akilihitaji afuate utaratibu kama ulivyoainishwa NA ofisi ya mbunge... hosptali ya burka soon tutaanza kuipambania ujenzi... chazaidi LEMA katupa morally ya Judaism haki kuwasambaratisha mafisadi tumekuwa Mfano WA kuigwa kisiasa ARUSHA tumekuwa chuo cha dissatisfied nchi nzima wanakuja kujifunza kuwaondoa magamba ARUSHA .. kwa sasa hatuna magamba hata tone. Jakaya Hakika kugombea udiwani sombeitini kwa tiketi ya magamba atashika nafasi ya tatu pamoja NA cck magamba wameisha.

Tumepata ushindi WA kesi nyingi sana ikiwemo ya musa mkangaa NA zinginezo nyingi mpaka ile ya send off

Mungu katuletea mkurugenzi mzuri sana hapendi ufisadi mpaka meya WA kichina anakacha vikao

Jiji limeongeza makusanyo ya kodi... on source collections from 300 mil to 700 NA zaidi milion yote hayo Ni mafanikio ya mbunge NA madiwani wake kwa kushirikiana NA mkurugenzi WA jiji. Wamepambana NA ufisadi NA bado wanaendelea kupambana NA ufisadi WA meya WA kichina mkuu WA wilaya NA mkuu WA mkoa mpaka kieleweke


Ufissdi katika kugawa tender mbalimbali... miradi ya kimaendeleo... pamoja NA shughuli za ukusanyaji WA kodi NA mapato ya aina mbali mbali tunaamini ongezeko hilo la makusanyo ya kodi toka 300 mil to 700 NA zaidi mil yataendelea kupanda kila mwezi kadiri wanavyo endelea kuziba mianya ya ulaji ya mabepari hao hapo juu
 

hiyo ilikuwa kama chama kingeshinda kwenye mipango ya chadema arusha,stendi inge hamishwa
..juu la kuwasaidi akina mama hilo linaendelea,hospital eneo limeshapatikana lenye ukubwa wa heka nne michoro inaendelea..
 


Ama kweli nimeamini haya ma sisiemu yanakitoaga ufahamu... jamani hauhitaji nguvu nyingi kulingsnisha majimbo yoote Tanzania. Kuanzia jimbo la msoga anakotoka raisi WA jmt mpaka jimbo la mizengo pinda mpaka jimbo la kijana mdogo sugu ama LEMA ama msigwa ama silinde kisha ulinganishe Je hayo majimbo ya magamba kuna hata hilo trekta??? Hata wazo la kuwa NA bajaji hakuna si Bora sisi tuna japo wasp? ??

Lingajisha majimbo kumi ya magamba linganisha kwajimbo moja la KAMANDA mmoja tofauti Ni kubwa mnoo

ARUSHA tulipngozwaga NA magamba mambo yakawa hayaendi walikuwa wanafanya mabiashara yao tuu shida ya maji Ilikuwa kila kona barabara hazipitiki uchafu kila kona ufisafi kila Kina sasa tumeokolewa

We simiyu yetu angalia huko simiyu mbunge wako hujui hata ana vision gani mmekaa tuu kimagamba mmerizika NA buku saba saba kwa comment hakuna mission wala vision mmekaa kama vipofu hamjui mnatetea nini... kila kitu mnaingoja serikali iwape komaeni tafuteni pambaneni sio mnakaa kidandara tuu ngoja 2014 muone viini macho ndo mshangae pumbav
 
Lema aliahidi Machinga Complex na kuihamishia Stendi kuu Pale KWA-NGULELO! mahakama ya kadhi ni JK anzisha thread yako, hii unamuhusu huyu Kamanda wa Chadema!

ilikuwa ihamishiwe kule jalalani au pale sakina walipokuwa wanakaa wanajeshi..tukiacha unazi Arusha hatuna stendi..
 
Mungi kwahiyo ahadi za Machinga Complex na lile trekta zimeshamezwa na kazi "UKOMBOZI WA FIKRA"?
trekta lipo waulize akinamama ambao waliingia kwenye mradi huo..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…