Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
18,925
Reaction score
13,279
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?

CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
 
Yawezeka unayo lakini ikawa HAINA AKILI,eti?
 
Lema anaongopaga mchana kweupe.
 
Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?

Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi

Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....

Tangu apigwe na vijana wake wa kazi kwa sababu ya kutowapa ujira wao kapotea kweli.
 
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?

CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.

JK na ahadi kibao na ana pesa kashindwa kutimiza ije iwe Lema anaye pambana na CCM kila kukicha wanamzuia kutenda kazi zake ? Kweli mavi ni mavi .Chadema washindwe kujibu hoja ? Kweli una akili ila hazina akili
 
Acha Porojo, sijakwambia ulinganishe ahadi za LEMA na JK? Machinga Complex iko wapi? na Lile Trekta Liko wapi?
 
JK na ahadi kibao na ana pesa kashindwa kutimiza ije iwe Lema anaye pambana na CCM kila kukicha wanamzuia kutenda kazi zake ? Kweli mavi ni mavi .Chadema washindwe kujibu hoja ? Kweli una akili ila hazina akili

Halafu katoka na mpya ya kuweka umeme shule zote za Sekondari za Kata! Heri awe anasafiri na kukaa huko nje, maana akishinda hapa nyumbani haishiwi vioja.
 
We gamba acha upumbavu embu tuache sisi tulomchagua na tunajua alichotufanyia mpaka sasa.

ARUSHA tunampenda Lema na kamwe hatutamchagua mwingne zaidi ya Lema.
Machinga Complex ishajengwa?
 
Halafu katoka na mpya ya kuweka umeme shule zote za Sekondari za Kata! Heri awe anasafiri na kukaa huko nje, maana akishinda hapa nyumbani haishiwi vioja.

Wapi Machinga Complex?
 
Back
Top Bottom