kigoma mjini
Member
- Dec 1, 2013
- 95
- 9
Ameomba muongozo kwa mhe spika kwa kuwa kipindi cha jioni mawaziri husika Ulinzi,Maliasili na Utalii hawako bungeni kusikiliza hoja za wabunge kwa ajili ya ripoti ya OPERATION
Mhe. Spika hajautoa ameruhusu mjadala uendelee yamkini atautoa
Naomba kuwasilisha
Kama Pinda angeumwa si ungesikia amesafiri Ulaya kutibiwa, au anaumwa uchovu?, apumzike manake tumechoka sasapinda anaumwa
pinda anaumwa
Kwani yeye ni monitor?
Kama hawapo bungeni labda wamejiuzulu uwaziri na ubunge