Mh. Lema - Mawaziri hawapo bungeni jioni

kigoma mjini

Member
Dec 1, 2013
95
0
nawaziri wenye tuhuma inayojadiliwa hawapo wote bungeni mda huu.

Ameomba muongozo kwa mhe spika kwa kuwa kipindi cha jioni mawaziri husika Ulinzi,Maliasili na Utalii hawako bungeni kusikiliza hoja za wabunge kwa ajili ya ripoti ya OPERATION

Mhe. Spika hajautoa ameruhusu mjadala uendelee yamkini atautoa

Naomba kuwasilisha
 
mshumbue-soi

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
1,847
2,000
Ameomba muongozo kwa mhe spika kwa kuwa kipindi cha jioni mawaziri husika Ulinzi,Maliasili na Utalii hawako bungeni kusikiliza hoja za wabunge kwa ajili ya ripoti ya OPERATION

Mhe. Spika hajautoa ameruhusu mjadala uendelee yamkini atautoa

Note: hata mhe Pinda mjadala unaendelea hayupo

Tanzania ni zaidi tuijuavyo
Naomba kuwasilisha
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
13,902
2,000
Wanaogopa kusulubiwa?.......Wakae wayaone sio wanakuna vitambi tu ofisini wakati watz wanauawa kwa kauli safi ya waziri mkuu kuwa liwalo na liwe piga ua umiza
 
Top Bottom