mh!!!!!kweli ya jana sio ya leo!!!!!!!

ntogwisangu

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
524
164
mh!!,maisha ubadilika!!hongereni vijana ila ni wakati wa kutumia akil na kukumbuka mlivyokuwa mnateseka!!!!!!
 

Attachments

  • mh!!!!!.jpg
    mh!!!!!.jpg
    53.9 KB · Views: 566
tuwekee list yote mkuu, da kiboga naona yupo mmwaaa
 
Watanzania bhana so mnataka wenzenu wawe na maisha yale yale,achen wivu wa kike hizo ni jitihada za kuvuja jasho lao,Diamond wa leo sio aliyeimba mbagala so maisha lazima yabadilike either in positive or negative,wamejifunza kutoka kwa mr,nice
 
Back
Top Bottom