Mh Kessy analipuka Bungeni

Mh Kessy analipuka Bungeni

Anazidi kuubomoa msimamo wa chama chake.Amejikita kwenye mfumo wa muungano.
 
Bungen vurugu tupu full miongozo na taarifa,hali ya hewa yachfuka
 
Duh...hivi hawa jamaa wanatumia kodi zetu au wanajilipia kwenda huko? Maana naona mipasho
 
Safi sana nimemuona kawagusa penyewe wanalialia tu wazenj
 
Anaendelea kusema toka karume kafa zanzibar haijachangia chochote katika muungano sio maneno yangu ni maneno ya gavana beno ndullu,hata hili bunge la katiba znz haijachangia chochote watanganyika hawataendelea kuwatibu wazanzibar na wake zao kwa kodi ya nkasi,ati rais wa znz awe makamo kachaguliwa na nani?
 
KESSY kasema ukweli muungano upo ktk hali tete,wazanzibar wananyonya bara!Prof Ndulu kathibitisha
 
Amewavuruga mbaya,hata utaratibu wa meza haueleweki aisee.Sitta amebakia kutapatapa anaita wachangiaji ili waupooze moto aliouwasha Mh KESSY.Kamwita Makinda na sasa Hamad Rashidi.
 
Kessy ana kila dalili za kutumiwa na baadhi ya watu wa Zanzibar ambao hawataki Muungano. Kessy chimbuko lake ni Pemba na mie nawajua ndugu zake wa karibu ambao wako Zanzibar na ni weupe kuliko yeye.

Watu wale wapenzi wa Muungano wajihadhari sana na maneno ya hatari ya Kessy. Anatoa maneno ya chuki na sio hoja pekee

Watu wa aina hii wanaweza pachikwa kotekote na maadui wa Mungano
 
Wabongo mkishikwa vibaya, kwa fitna hamjambo.
 
....tupieni nyama jamani,wengine tunamawani ya mbao. hii ishu ya funika kombe mwanaharamu apite itawaua ccm, wasisahau hakuna mwanaharamu sikuizi...
 
Kessy ana kila dalili za kutumiwa na baadhi ya watu wa Zanzibar ambao hawataki Muungano. Kessy chimbuko lake ni Pemba na mie nawajua ndugu zake wa karibu ambao wako Zanzibar na ni weupe kuliko yeye.

Watu wale wapenzi wa Muungano wajihadhari sana na maneno ya hatari ya Kessy. Anatoa maneno ya chuki na sio hoja pekee

Watu wa aina hii wanaweza pachikwa kotekote na maadui wa Mungano

Aliyoyasema hayana ukweli?Jifunze kuwa muungwana.
 
Wassira amepewa fursa anamtishia amani mh Kessy,anamuonya achunge ulimi wake,utamponza.
 
Kessy ana kila dalili za kutumiwa na baadhi ya watu wa Zanzibar ambao hawataki Muungano. Kessy chimbuko lake ni Pemba na mie nawajua ndugu zake wa karibu ambao wako Zanzibar na ni weupe kuliko yeye.

Watu wale wapenzi wa Muungano wajihadhari sana na maneno ya hatari ya Kessy. Anatoa maneno ya chuki na sio hoja pekee

Watu wa aina hii wanaweza pachikwa kotekote na maadui wa Mungano

Hebu tueleze basi kwa nini tusizingatie maneno ya Kessy? Unaweza kutoa hoja ya kutufanya sisi tuamini maneno yako badala ya Kessy ambaye ametoa mfano kutoka kwa Gavana wa BOT Ndulu?
 
Naona nguvu inayotumika kumnyamazisha Kessy imekuwa ni kubwa sana. Mawaziri waliomo bungeni wawili, Hamad Rashid na wengineo wamesimamishwa ili kumkabili Kessy! Hakika Kessy amegonga penyewe!
 
Back
Top Bottom