zubedasoud
Member
- Feb 1, 2017
- 91
- 117
Jana nilileta Uzi kuhusu bidhaa feki Ila zina nembo ya TBS na nibaada ya kununua sukar Jana asubuh nakukuta sukar imechanganywa na unga, yani sukar hata uweke vijiko 10 bado haikolei kwenye chai,
Sasa Waziri mkuu abaini udhaifu mwingine huko mkoani Manyara baada ya kuzuru katika kiwanda cha mbolea cha minjingu kilichopo katika mji wa babati,na kukuta package ina address ya Kenya ,wakat kiwanda na malighafi zinapatikana tz ,mbaya zaidi chombo tunachokiamini kwa udhibiti na ubora wa bidhaa(TBS),wameidhinisha ,
Je TBS kama government agency ,anashirik vipi kutekeleza Sera ya viwanda....
Yani mengi sana kuhusu TBS, bidhaa feki ni nyingi sana hasa huku maeneo ya vijijini ,mikoa kamta Simiyu, Njombe, Ruvuma , Geita , Singida na Kigoma noip miongoni mwa mikoa ambayo bidhaa feki huelekezwa kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo,geograph ,uelewa wa walaji ,nanyingine nyingi,
Tbp