Mh. John Magufuli akipokea Malundo ya Kadi za CHADEMA baada ya kuisambaratisha UKAWA

Mkuki kwa nguruwe, za ccm zimechomwa sana na kuchomwa sana ila

Kifo cha Urais Kupitia Ukawa ndio Leo... Nimetabiri tu..... Sasa tushajua Bosi ni Magufuli

Mkuki kwa nguruwe..CCM waliitwa kokoto leo kuna uzi humu umejaa picha za watu kwenye maroli wanaenda jangwani...kama kwa wingi wa kokoto ukawa wameshinda ha ha ha ....
Any way point ya muhimu ni akiba ya maneno.
Viongozi wetu wameno yao yalibadilika ghafla hatujui tufiche wapi sura zetu kwa kuwaita watu mafisadi...wengine tulivyokolea mpaka tukawa tunawaambia wazi wazi...dah..
Sasa ndo mabosi wetu
.tumekomaje?
Somo chungu sana.. Any way ndo maisha
 
Acha wasome namba, muelekeo wa kupotea angani ulianza kuonekana Sumaye alipoanza kuzungumza yale Yale na kuanza kumattack Kikwete na Mkapa badala ya kumwaga ujumbe, pili Duni Haji akaanza kuleta habari za CUF badala ya CDM, na gia ilipotea kabisa pale bila kutegemea Tambwe Hiza kuibuka. Kuna mama yangu kule kijijini ananiuliza hivi website ni nini?
 
Nipo kwenye tukio sasa hivi.

Hizo kadi nimeona wakipewa pembezoni. Tena wakapewa maelekezo wakae sehemu ya Mbele kabisa, Karibu na Mgombea ili watu wakihitajika kukusanya kadi iwe rahisi kumfikia Mgombea.

Wamepewa na pesa.... Kifanya hili zoezi.

Jidanganye na wadanganye na wenzio wote mdanganyane halafu mdanganyike ....October 25 ndio mtajuaaaa.
 
Acha mbwembwe hizo kadi zimeibiwa kwa wenyewe?

Acha mbwembwe hizo kadi zimeibiwa kwa wenyewe?

Hahahahaha! Ngoja nikuhadithie sasa.

Nilifika katika eneo la tukio mapema tu, kwa lengo la kufanya Udukuzi katika kila lililokuwa linaendelea.

Kwa bahati nzuri au mbaya, nikapata nafasi ya kujumuishwa kwenye zoezi. Hapo ndipo nilipogundua Michezo michafu CCM inayofanya ili kujenga na kuinua Matumaini kwa wanachama wao ambao wamekuwa wakiathirika sana na Habari za wafuasi wao kujiunga na upinzani.

Watu walikuwa wakipewa kadi ambazo zilionekana ni mpya huku zikiwa zina Majina ambayo yalionrkana yameandikwa hivi punde.

Walipewa Maagizo ya kukaa/kusimama maeneo ya Karibu na Mgombea wa CCM yaani Magufuli. Ilielezwa kuwa katika ratiba imepangwa watu waitwe alafu wajifanye wao ndio wa chadema kwqmba nfio wanajiunga na CCM.
Ikawa hivyo.

Na kama ukijaribu kuangalia vizuri kwenye pic utagundua kwamba wanaokusanya Kadi ni wale ambao wako umbali mfupi kutoka kwa Magufuli.
 
Hotuba ya Rais mtarajiwa tukaitafute, ametuingizia, bei gani ya kutzamia, nimezibidisha keo ama kweli safari ya matumaini daaaaah!!!!!
 
Jidanganye na wadanganye na wenzio wote mdanganyane halafu mdanganyike ....October 25 ndio mtajuaaaa.

Nikiwasikiliza na kuwatazama wanaojiita wafuasi wa CCM napata Masikitiko makubwa sana.

Laiti mngelijua kinachotokea, mngelichimba shimo la kujificha.

Eti nanyi mnaingoja Okt25 kwa hamu.. 😂😂😂.
 
Hahahahaha! Ngoja nikuhadithie sasa.

Nilifika katika eneo la tukio mapema tu, kwa lengo la kufanya Udukuzi katika kila lililokuwa linaendelea.

Kwa bahati nzuri au mbaya, nikapata nafasi ya kujumuishwa kwenye zoezi. Hapo ndipo nilipogundua Michezo michafu CCM inayofanya ili kujenga na kuinua Matumaini kwa wanachama wao ambao wamekuwa wakiathirika sana na Habari za wafuasi wao kujiunga na upinzani.

Watu walikuwa wakipewa kadi ambazo zilionekana ni mpya huku zikiwa zina Majina ambayo yalionrkana yameandikwa hivi punde.

Walipewa Maagizo ya kukaa/kusimama maeneo ya Karibu na Mgombea wa CCM yaani Magufuli. Ilielezwa kuwa katika ratiba imepangwa watu waitwe alafu wajifanye wao ndio wa chadema kwqmba nfio wanajiunga na CCM.
Ikawa hivyo.

Na kama ukijaribu kuangalia vizuri kwenye pic utagundua kwamba wanaokusanya Kadi ni wale ambao wako umbali mfupi kutoka kwa Magufuli.

Acha fix, na zile za CCM zinazochomwa na kurudishwa pia ni maigizo?
 
Hilo sio rundo acha kujifariji,na hao waliorudisha wanataka tshirt na kanga,yani kifupi njaa zinawasumbua na hawajielewi wanataka nini,tutakamilisha October
 
11885261_930920530280242_8369945850308608859_n.jpg
 
[h=3]Mh. John Magufuli akipokea Malundo ya Kadi za CHADEMA baada ya KUISAMBARATISHA UKAWA[/h]

http://4.bp.blogspot.com/-Spc5hRUA5KE/VeAhqNWQhWI/AAAAAAACA4I/rKR7hwRTUrY/s640/SUREZZ.jpg[/IMG[ATTACH]295411[/ATTACH]

[FONT=Verdana]Baada ya kuitikisa Mbalizi, Mbeya, Mh. John P. Magufuli apokea Malundo ya kadi za CHADEMA kutoka wana UKAWA ambao hawana imani tena na Muungano huo.[/FONT][/FONT][/COLOR][/QUOTE]
[ATTACH]295412[/ATTACH]
[quote="Simiyu Yetu, post: 13787762"]Wataisoma namba magufuli mbele kwa mbele.[/QUOTE]
[ATTACH]295411[/ATTACH]
[quote="Simiyu Yetu, post: 13787798"]Yule mzee fisadi akiona hivyo hana amani kabisa hoi kabisa anaweza anguka tena kama alivyoanguka siku ile.[/QUOTE]
[ATTACH]295414[/ATTACH]
[quote="Mr Chin, post: 13788176"]Roho inakuuma sana. Kubali kuwa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu]#HapaKaziTu[/URL] ni HABARI YA MUJINI[/QUOTE]

[ATTACH]295415[/ATTACH]
 
Attachments

  • 1444180079156.jpg
    1444180079156.jpg
    68.5 KB · Views: 384
  • 1444180110073.jpg
    1444180110073.jpg
    16.1 KB · Views: 517
  • 1444180208484.jpg
    1444180208484.jpg
    9.4 KB · Views: 389
  • 1444180257431.jpg
    1444180257431.jpg
    5.8 KB · Views: 376
Hata kama na Leo wilayani rungwe Tky mkon mby alichokifanya kwel ccm mmeixhiwa mbinu...kuwachukua wanafunzi mashuleni et waongeze idad uwanjan ionekane ana watu weng..kumbe hamna kitu...pole xana jiran pombe karibu kwetu ukawa maana huku hatukodi watu wala kugawa xare....tunachokifanya tunauza t xhirt kama VP na nyie uzen zenu muonee

Lowassa Kwisha habari yake.
 
Mbowe keshaanza kufanya kazi ya kuwaandaa kisaikolojia na kushindwa uchaguzi. Anazungumzia kutokukubali matokeo!!! Mumuelewe Mwenyekiti na DJ wenu jamani.
 
Back
Top Bottom