pole,anachomaanisha ni kwamba ukimuita shem mwisho wa cku itakuwa "shemeji kula kaka hayupo" bt mkiitana dada na kaka heshima itakuwepo sana!
Eversmilin Gal...hadi wewe mwanangu unnaniwazia hivyo??!Hilo nalo neno!!!!
Shemeji pole ! Naona ushapona ww!
Afu niitie basi dadio mwambie leo stoki , nashinda home.
Eversmilin Gal...hadi wewe mwanangu unnaniwazia hivyo??!
Haha..shem nna nafuu ila mepewa mapumziko so sijaenda kujenga nchi leo.
She is coming right away...
Eversmilin Gal...hadi wewe mwanangu unnaniwazia hivyo??!
Haha..shem nna nafuu ila mepewa mapumziko so sijaenda kujenga nchi leo.
She is coming right away...
Mpenzi kaka mentor aliiniita mda kidogo sema leo nilipewa kazShemeji pole ! Naona ushapona ww!
Afu niitie basi dadio mwambie leo stoki , nashinda home.
Hahaha hahhaa hahhahahahah!Nashukuru Bishanga...bado natafakar cpati jibu. Ila lazima ntamuuliza..
Hehe..ilo nalo neno...basi mi kesi nligoma kununua..nimepandisha mabega huyo nkarudi zangu ndani.
Mpenzi kaka mentor aliiniita mda kidogo sema leo nilipewa kaz
Ila huyo jiran anakichaa huyo hajiamin na akiona my bb mentor super handsome anaona hapa sasa mkewe atamkimbia kuumbe mentor wake cathe na hana tatizo na mtuu
Lol....unanipa bichwa swi..
Mentor mjini hapa wasiwasi kipimo cha akili ama umesahau?
Dada gfsonwin nimekuta lawama zako kwa yule anayeomba ushauri wa the coming husband mwanamke hana staha yule anahitaji kufundwa
dah! subiri nikupe mchapo sasa yaani alinifika nikataka kumtapika, kanitumbukia nyongo yaani na ivi nlikuwa niko safarini tena nimepanda juu ya viroba lol! nili luzi kontrol yote. basi akjileta pm na mitus akakuta tayari meli ishatia nanga niko ulimwengu mwingineeee nikaishia kujisemea lol! tumbi tumbi, tumbi ya mgongo.
BTW umzima lkn pamoja na familia?
si wazima nilimuona lile jukwaa la malalamiko hata hiyo ndoa itamshinda tabia gani za kuanikana jina halisi sasa anaenda kwenye ndoa pasipokuwa na staha ya kutunza siri na tabia ya uvumilivu ban inamnukia kwa alivyokuwa anajibizana na watu huko analo embu ngoja zinduna arudi aandaliwe mdundiko
miye nachungulia tu katukana matui baya zaid hana tusi jipya hata moja yote nimeyazoea so nilimwambia alete moja jaipya ambalo hajakopy na kupaste kachemsha, miye nimempa moja akafunga mdomo sijui kafia wapi. anaona jf mahali pa kuja kuleta ujinga hayo anepeleka huko fb