i am sorry to say that this is crap and probably wewe ni mmoja wa watu waliotumwa kuharibu kabisa JFKuna tetesi (zisizo rasmi) kuwa kuna uwezekano wa mh huyu kutorejea tena jimboni mwake 2015, sababu zilizopo ni ndizo zilizopelekea hata kutokuwemo kwenye cabinet iliyoapishwa hivi punde hapa Magogoni.
Lakini cha ajabu ni kwamba janki huyu mwenzetu amekuwa karibu saaana na mkuu wa nchi tangu walipokuwa MAMBO YA NJE na wakahamia wote pale magogoni, hatujui nini kimejificha baina yao ukizingatia baba ndie mtendaji mkuu wa chama TWAWALA.
mind you,
This is an open forum...kujadili, kujua, kutathmini na kubadilishana mawazo ama ewe ACID upo based mahali fulani..?
sorry dude... ila sijaona umejadili, umejua, umetathmini au kubadilishana mawazo... nilichoona mimi umespeculate na kusingizia eti tetesi zisizo rasmimind you,
This is an open forum...kujadili, kujua, kutathmini na kubadilishana mawazo ama ewe ACID upo based mahali fulani..?
One thing i liked about january makamba ni his Ideas na "ndoto" alizokuwa kuwa nazo kam angepata ubunge . Nilichofurahi zaidi ni yeye kukosa uwaziri sababu kwa kupata uwaziri zile ideas nzuri alizokuwa nazo ingekuwa kazi kuzifanyi kazi.
Nilichofurahi pia kwa kupewa uwaziri watanzania wote tungeona kabewa kupita kiasi.
Now its time for January Makamba ku relise ile bumbuli aliyokuwa ana "ota" kwa kufanikisha hata 30% ya bumbuli yenye magari ya kisasa ya kusfirisha matunda. bada ya hayo Nitapenda kuona anapanda kamajukumu zaidi na zaidi
ivi ile documentary aliitoa tena? nadhani alitegemea uwaziri...
Sasa kwa mbaaaali naanza kuamini kwamba kuna idadi kubwa ya watz inayomini kwamba kuna chocolate kwene kila box!
excuse you, you contradicted yourself... the kinda talk that makes me think you probably ain't got no puddingJanuary kama anataka kwenda mbali kwenye siasa aache mipombe.
... Mkapa alikuwa chapombe mpaka analala ... lakini akaenda kuwa rais.
So, bongo nyota zako zikiwa safi unapeta tu.
Kiranga, tukubali au tukatae, the guy is smart upstairs, japo enzi hizo akiwa Morogoro kabla Baba hajahamishiwa Kigoma kuwa RC, kijana alikuwa na issue yake fulani sensetive, ila kwa vile aliajiriwa foreign then Ikulu, verting itakuwa ilishamclear kitambo.So, bongo nyota zako zikiwa safi unapeta tu.