Mh. Jaji Warioba kuunguruma leo ITV

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,930
2,554
Wadau,

Mh. Jaji Warioba leo ataunguruma kupitia ITV kwenye kipindi cha DK 45. Atakuwa akihojiwa na Buhohela. Naamini ataweka sawa mipaasho ya UKACCM (UMOJA WA KATIBA YA CCM) waliobaki bungeni na pia atatoa ufaafanuzi wa masuala ya msingi yaliyo ibuliwa na UKAWA (UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI). Stay tuned...
 
Tusishangae akijakuongea vitu tusivyovitarajia,,,,anaweza kuikana hata rasimu ya katiba na kusema kuwa wenzie walimshinikiza kuweka katiba tatu,,,,CCM wamzoea vya kunyonga,,,,,,,,
 
Muda tafadhali unajua hizi chennel za Bongo wengine tumezikimbia muda.
 
Jaji Warioba, Ni kati ya wazee wachache katika nchi hii wanaoheshimika sana.
 
Wadau kila binadamu ana wakati wake wa kuweka historia.Simaanishi kwa mzee wetu WARIOBA suala la rasimu ya katiba ndio histori kwake hapana mengi kafanya lakini hili ni alama ya kipekee.Siku za karibuni mzee WARIOBA ameingizwa katika vita ambayo wanaomshambulia wengi ni watu kutoka chama chake hasa viongozi wa nchi.
Kinachotungaza WARIOBA alipoanza kazi walimtia moyo na kumsifia ila alipoonyesha mafanikio WAMEINUA VIKWAZO.Mdau mnadhani WARIOBA si mtu mzuri ni MSALITI maana hapendwi ndani ya CCM.Au walimwandaa ilihali walijua atapitsha matakwa ya wananchi ambayo wao hayataki ili baadae waseme alikuwa mmojawapo wa G...Kabla hatujamshudia katika dk 45 kama tulvyoambiwa tumtafakari WARIOBA anastahili kueshimiwa kwa kufuata tunu za taifa kama UADILIFU.
Najua kuna watu wanajiandaa kupinga atakachosema na hawapo tayari kumsikiliza.TAFAKARI YAKO JUU YA WARIOBA NAINGOJA ILI NIJIONGEZE NITAKAPOMWONA KATKA DK 45
 
Wadau kila binadamu ana
wakati wake wa kuweka historia.Simaanishi kwa mzee wetu WARIOBA suala la
rasimu ya katiba ndio histori kwake hapana mengi kafanya lakini hili ni
alama ya kipekee.Siku za karibuni mzee WARIOBA ameingizwa katika vita
ambayo wanaomshambulia wengi ni watu kutoka chama chake hasa viongozi wa
nchi.
Kinachotungaza WARIOBA alipoanza kazi walimtia moyo na kumsifia ila
alipoonyesha mafanikio WAMEINUA VIKWAZO.Mdau mnadhani WARIOBA si mtu
mzuri ni MSALITI maana hapendwi ndani ya CCM.Au walimwandaa ilihali
walijua atapitsha matakwa ya wananchi ambayo wao hayataki ili baadae
waseme alikuwa mmojawapo wa G...Kabla hatujamshudia katika dk 45 kama
tulvyoambiwa tumtafakari WARIOBA anastahili kueshimiwa kwa kufuata tunu
za taifa kama UADILIFU.
Najua kuna watu wanajiandaa kupinga atakachosema na hawapo tayari
kumsikiliza.TAFAKARI YAKO JUU YA WARIOBA NAINGOJA ILI NIJIONGEZE
NITAKAPOMWONA KATKA DK 45

warioba ni mtu pekee aliyebaki ccm anayeweza kusema ukweli bila kufuata mkumbo waliyojiwekea chama tawala wa kupinga ukweli unaoonekana wazi,heko Warioba.
 
Ntarudi hapa baada ya kuisha kipindi,,,kwa sasa naifadhi maneno yangu,,,huwa siwaamini wana-ccm,,,anaweza akaja kugeuza kabisa mchezo,,,,kwa kusema hata wananchi hawakutaka seriklali tatu ila wajumbe wenzie wamemshinikiza tu
 
Naamini hatalumbana na wana Ccm wasio na nidhamu, ni nafasi nzuri ya kumsikiliza atakavyo waambia wanafiki wanaosema rasimu umependekeza kuvunja muungano. Hii ni kwa vile hawasomi wanakarirushwa na mabosi wao kitu cha kuinge. Ni siku njema sana leo kwa Watanganyika.
 
Unajua ccm wanashndwa kumuelewa huyu Mzee, rasimu ile imeandaliwa kwa ueledi mkubwa co takwimu tuu zilizotumika,kama walitaka serkali mbili c wangeweka kwenye TOR coz tume ilipewa jukumu la kuja name muundo ambao utasaidia kuondoa kero za muungano bila kuvunja muungano, serkali moja imekataliwa mbili znakero what do u go about? Kwa wataalamu watachangia nchi zote ambazo zona constitution supremacy haitakiwi kuwe name migongano ndani ya katiba. Angalia katiba ya Kenya kuhusu haki ya mwanamke na mwili wake utaeelewa. Warioba anajua tumckilize tumuelewe hoja zake. Team warioba mtanielewa team mngulu I'm not bothered with ur comments
 
Tusishangae akijakuongea vitu tusivyovitarajia,,,,anaweza kuikana hata rasimu ya katiba na kusema kuwa wenzie walimshinikiza kuweka katiba tatu,,,,CCM wamzoea vya kunyonga,,,,,,,,

...loh kiongozi, ngoja tumsubiri aseme mwenyewe,tusimsemee ila kwa dongo alilomrushia jk juzikati naamini atashambulia kwa nguvu sana maana wamemshambulia sana maadui zake...
 
Unajua ccm wanashndwa kumuelewa huyu Mzee, rasimu ile imeandaliwa kwa ueledi mkubwa co takwimu tuu zilizotumika,kama walitaka serkali mbili c wangeweka kwenye TOR coz tume ilipewa jukumu la kuja name muundo ambao utasaidia kuondoa kero za muungano bila kuvunja muungano, serkali moja imekataliwa mbili znakero what do u go about? Kwa wataalamu watachangia nchi zote ambazo zona constitution supremacy haitakiwi kuwe name migongano ndani ya katiba. Angalia katiba ya Kenya kuhusu haki ya mwanamke na mwili wake utaeelewa. Warioba anajua tumckilize tumuelewe hoja zake. Team warioba mtanielewa team mngulu I'm not bothered with ur comments

Kila nikiangalia tume ya warioba nakosa hata mtu wa kumtoa kasoro ilivyokuwa imesheheni watu wenye weledi na wakereketwa wa ccm, hebu tujiulize ni nani leo anaweza akasimama ndani ya ccm kujilingalisha na Warioba, Jaji Augustino ramadhana, Salim, Marehem Mvungi, Mwesiga baregu! tuseme wote hao ni vichaa ila ma ccm tu? Kingine hii rasimu Rais alikabidhiwa baada ya warioba kumaliza kazi kabla haijapelekwa bungeni kama aliona ina mapungufu si asingeruhusu ikasomwe wala kujadiliwa bungeni na mamlaka alikuwa nayo coz yeye ndio katoa hadidu za rejea! Mpaka leo siwaelewi ccm kabisa! wamekomaa s2 ukiwauliza kwa nn hata data hawana za kulidhisha kweli nchi hii mungu saidia tu!
 
Tanesco wanaweza "kuagizwa" kufanya "kazi yao" muda huo!
 
Tatizo hicho kipindi hakitoi fursa kwa watazamaji kutoa mchango wao pale mtangazaji anapoishiwa na maswali au ufafanuzi. Ni kipindi kizuri lakini kipewe muda na kishirikishe watazamaji
 
Wadau,

Mh. Jaji Warioba leo ataunguruma kupitia ITV kwenye kipindi cha DK 45. Atakuwa akihojiwa na Buhohela. Naamini ataweka sawa mipaasho ya UKACCM (UMOJA WA KATIBA YA CCM) waliobaki bungeni na pia atatoa ufaafanuzi wa masuala ya msingi yaliyo ibuliwa na UKAWA (UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI). Stay tuned...

Naona siku ya leo imekuwa ndefu kwangu kwa ajili ya kusubiria muda
 
Tatizo hicho kipindi hakitoi fursa kwa watazamaji kutoa mchango wao pale mtangazaji anapoishiwa na maswali au ufafanuzi. Ni kipindi kizuri lakini kipewe muda na kishirikishe watazamaji

Mtauliza maswali yasiyokuwa na maana ili tu kuharibu kipindi na muda uishe.
Ref: timu buku7, Lumumba.
 
Back
Top Bottom