...mkuu kuna wataalamu (proffessionals) toka idara ya takwimu kama sikosei, pia wapo watu toka ofisi ya raisi na waziri mkuu. yaani kuna high ranking personel wengi sana toka serikalini. tatizo jaji warioba aliwaambukiza uzalendo wajumbe wa tume yake woote,ndo maana hawakujali cha ccm wala jk, hapoo ndo chanzo cha vurugu/mgogoro na ccm....Kila nikiangalia tume ya warioba nakosa hata mtu wa kumtoa kasoro ilivyokuwa imesheheni watu wenye weledi na wakereketwa wa ccm, hebu tujiulize ni nani leo anaweza akasimama ndani ya ccm kujilingalisha na Warioba, Jaji Augustino ramadhana, Salim, Marehem Mvungi, Mwesiga baregu! tuseme wote hao ni vichaa ila ma ccm tu? Kingine hii rasimu Rais alikabidhiwa baada ya warioba kumaliza kazi kabla haijapelekwa bungeni kama aliona ina mapungufu si asingeruhusu ikasomwe wala kujadiliwa bungeni na mamlaka alikuwa nayo coz yeye ndio katoa hadidu za rejea! Mpaka leo siwaelewi ccm kabisa! wamekomaa s2 ukiwauliza kwa nn hata data hawana za kulidhisha kweli nchi hii mungu saidia tu!
Ntarudi hapa baada ya kuisha kipindi,,,kwa sasa naifadhi maneno yangu,,,huwa siwaamini wana-ccm,,,anaweza akaja kugeuza kabisa mchezo,,,,kwa kusema hata wananchi hawakutaka seriklali tatu ila wajumbe wenzie wamemshinikiza tu
Tanesco wanaweza "kuagizwa" kufanya "kazi yao" muda huo!
Matola kuna jinsi ya kuomba kirudiwe!au ni jinsi gani huyu Mzee na timu yake watapewa audience tuwasikie!
...hilo nalo neno, loh...!