Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,520
- 7,292
Aisee kwa dakika 5 tu alizoongea ni wazi kwamba serikali 3 haziepukiki...nimeshaona points kadhaa kama ifuatavyo:
1-kasema yale mambo 22 ya Muungano yaliyokuwa kikatiba yamenyofolewa kiholela
2-Wazo la serikali 1 lilijadiliwa kimapana ikaonekana haifai
3-Wabunge wa Zenji wanakuja Tz bara na wann mamlaka kamili ikiwa pamoja na kukagua miradi ya maendeleo na kuwashurutisha halmashauri, wakati watz hawana uwezo huo wakienda zenji..
Na mengine mengi ila ndo UMEME wamekata..hapa Nangurukuru