Mh hii Kali

Mh hii Kali

Hahahaha!!! nimecheka sana jamani,,,, siku mpwa wako CYBERTEQ akituma tu hiyo msg no 10 inamfaa..
 
Last edited by a moderator:
mamaaaaaaa huyo no 10 noma saaana... me moyo wangu wa kichina huu naulizwa "nani mwenzangu" nazimia hapohapo..
 
siku nikijibiwa namba 10, aisee namtahiri huyo mwanamke kwa mara ya pili!
 
Back
Top Bottom