Ndiyo hivyo Chakaza, jf siku hizi haizungumzii hoja, inajadili watu na maisha ya watu binafsi.TAWA hii hoja yako ni muhimu na nimeshangaa watu wameisahau mpaka hii habari inaelekea kupoa.
Sasa tunapaswa kujua hiyo kamati ya Bajeti wajumbe ni kina nani na jee ile taarifa iliyosomwa na Ghasia bungeni no yao kweli au ililetwa kutoka huko na kusomwa tuu?
Kama kamati ya bajeti haiko makini na inakuja bungeni kuunga mkono hoja ambayo haipo jee kuna cha bajeti hapo kweli?
Kwa vile majuzi tuliona hata wenyeviti wa kamati wakiwekwa kimkakati sasa nao umefika wakati wa kuwahoji kwa wafanyayo
Tatizo la wabunge wengi wa ccm, wanafikiri wapo pale kuilinda serikali. Lazima wapewe semina juu ya kazi yao ndani ya bungeNdiyo hivyo Chakaza, jf siku hizi haizungumzii hoja, inajadili watu na maisha ya watu binafsi.
Mambo kama haya ndiyo ya kutilia mkazo mpaka kieleweke.
Baada ya waziri wa fedha uchumi na mipango mheshimiwa Mpango kuwasilisha kile ambacho serikali ilidhani kwamba ni mpango wa serikali wa miaka mitano, mwenyekiti wa bunge mh. Andrew Chenge alimwita mwenyekti wa kamati ya bajeti mgeshimiwa Hawa Ghasia ili atoe maoni ya kamati.
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa kamati ya bajeti alitoa maoni yake bila kufahamu serikali pale haikuleta mpango wa miaka mitano kama ilivyotakiwa na badala yake ulikuwa ni muundo wa kamati wa mpango.
Kilichonishangaza zaidi ni pale mh. Hawa Ghasia aliposema NAUNGA MKONO HOJA.
Jioni serikali iliondoa hoja yake mezani kwa kukiri kwamba walikosea. Sasa ndugu huyu alisema vile kwa mazoea kwamba ukiwa mbunge wa ccm lazima uunge mkono hoja yoyote ya serikali hata kama mbovu na haina maslahi kwa taifa?
Au naye alighafilika kama ilivyo kwa serikali?
Wananunua magari yw washawasha na kuwateua maafande kuwa makatibu tawala wa mikoa. Mtaisoma kimya kimyaTatizo wanajisahau mwisho wanatumia nguvu nyingi kwenye uchaguzi wakati wangeweza kutengeneza njia mapema kwa kuwatendea haki wananchi.
Oh!Hawa ni miongoni mwa mawaziri vilaza waliokuwa ndani ya serikali ya awamu ya tano.
Baadhi yao ni Mulugo, Nkamia, Mary, etc.
Kwasasa tunaye pia huyu wa Tbc Live.
Kaidhalilisha serikali na chama chake kwa ujumla. Kwamba naye huyu alikuwa waziri.Enzi za utawala wa jk niliwahi kuwaambia wenzangu kua mtu kama huyu mama, bi sophi Mbasi (soma kinyume) na yule waziri wa elimu sidhani kama walikua hata wanajua job description zao; yaani walikuaga wanaenda tu ofisini but kufanya nini huko not sure kama walikua wanajua vizuri. Niliwahi pia kusoma kwenye gazeti 1 kwamba bimkubwa huyu aliwahi kulipiwa bill ya simu yake kwa Tsh 52milioni na serikali tena bill ya mwezi 1 tu na mwezi wenyewe ulikua mfupi, yaani February. Kwahiyo kuunga mkno chochote kinachosemwa na waziri yeyote mle bungeni kwake wala siwezi shangaa hata mara 1
Leo Azam nao hawajarusha kabisa. Na jioni hii star tv nayo zero. Kunani??????!!!!!!kuielewa CCM inahitaji uwe na degree ya 5 za ujinga.
hii ni moja ya sababu za CCM kupinga bunge kurushwa live.
Mary unamwonea mkuu. Sio kilaza kama hao engine.Hawa ni miongoni mwa mawaziri vilaza waliokuwa ndani ya serikali ya awamu ya tano.
Baadhi yao ni Mulugo, Nkamia, Mary, etc.
Kwasasa tunaye pia huyu wa Tbc Live.