Mr Mayunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 313
- 40
...Hicho kimenistaajabisha kidogo. Anasema mfumo mbovu, halafu anautetea kiaina. Kwahiyo, anafikiria ni nani ataurekebisha -ukizingatia yeye anachofanya ni unafki wa kuukosoa huku akiupigia chapuo kwa upande mwingine.Amejibu kiujanjaujanja hamad anawanafunzi 18 anaowasomesha hv anaona kuongezwa kwa posho itamsaidia
Hivi mmeona ni wabunge tu wanaopewa posho kubwa?Ndugu mtangazaji, nimefadhahika sana kumsikia mh Hamad, anaunga mkono swala la posho za wabunge.
Ananipa mashaka na nia yake yakutaka kuwa kiongozi mkubwa kama katibu, kuwa lengo lake bado ni maslahi binafsi.
Amejibu kiujanjaujanja hamad anawanafunzi 18 anaowasomesha hv anaona kuongezwa kwa posho itamsaidia
Hivi mmeona ni wabunge tu wanaopewa posho kubwa?
Kwanini hao wanaopinga posho wasiseme watumishi wote waserikari na wa binafsi wasiongezwe au kupewa posho?
Ni mtego tuu wa wanasiasa kujifanya wao wanahuruma na wananchi kumbe wanacho wanachokitafuta. Nadiriki kusema wanafiki wakubwa waniulize ni kwanini nasema hivyo niwaumbue hapa.

hivi mmeona ni wabunge tu wanaopewa posho kubwa?
Kwanini hao wanaopinga posho wasiseme watumishi wote waserikari na wa binafsi wasiongezwe au kupewa posho?
Ni mtego tuu wa wanasiasa kujifanya wao wanahuruma na wananchi kumbe wanacho wanachokitafuta. Nadiriki kusema wanafiki wakubwa waniulize ni kwanini nasema hivyo niwaumbue hapa.
Maalimu Seif alikuwa wa Kwanza kutangaza kugombea Ukatibu Mkuu kwenye Baraza kuuNaomba nimuulize Mzee wangu hapo Hamad Rashid, ni kwa nini ameanza harakati za kuwania ukatibu mkuu mapema kiasi hiki tofauti na taratibu za kichama? Je kwa sisi ambao tuliofuatilia kipindi cha mwanzo kabisa bungeni mara baada ya uchaguzi na kuona jinsi alivyokuwa anahangaika kubadili vifungu vya bunge ili kuwe na kambi isiyo rasmi bungeni,atatushawishi vipi kuwa yeye si mroho wa madaraka?
Hujui Migogoro nayo inajenga Chama??? Wakwanza kuleta Migogoro alikuwa ni Nyerere !!! aliwapinga Wakolono !!! Kitendo cha Ndiyo Mzee ni hatari kwa maendelea angalia nchi ya Kenyahamad rashid acheni migogoro jengeni chama acheni uroho wa madaraka.