Mjadala wa Kipindi cha TUONGEE ASUBUHI upo hewani na Sinai Shaka undani kuhusu mgogoro unaofukuta ndani ya cuf utatolewa sura ya upande wa pili kwa kina. Fuatilia mjadala
Dhambi kubwa hiiHamad Rashid, anasema ametia nia ya kugombea, na kutia nia si mbaya kwa sababu ni haki ya kikatiba. Anasema hata Maalim Seif ameshasema kuwa atagombea, anasema Maalim Seif alisema kuwa yeye (Hamad) ni mgonjwa hivyo hafai.
Hili usiulize Yahya, za mbayuwayu changanya na za kwako!3. Lowassa amekupatia shilingi ngapi ili kukamilisha mkakati wake?