Lobapula
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 2,388
- 1,582
- Thread starter
- #121
umeandka dhana nyingi mkuu huo ni mtazamo wako yan unadhani,unaona
,Kwanza ndugu yangu unaangalia hali ya Mgonjwa na madaktari specifically waliokuwa karibu na Lissu waliiona hali yake ikoje at the sport,hivyo yawezekana kabisa hata madaktari Dodoma waliiona hali ya Mgonjwa na inawezekana kabisa walimshauri Waziri,lakini kwa sababu ya kutofikiria zaidi ya pua.
Hivi unadhani kutoka Dodoma mpaka Dar,na Dar mpaka Nairobi inatifautiana kwa kiasi gani muda wa kuruka?/Mkuu unaujua muda uanotumia kutoka destination mbili hizo??
Kama Naiorbi wameona Mgonjwa hawezi kuruka masafa marefu ulitegemea Muhimbili wangemrusha hata baada ya kuona hawana vitendea kazi na hali ya mgonjwa inahitaji zaidi ya huduma waliyonayo wangeweza kumrusha kwenda Nairobi??
Ndugu yangu kama hali ilikuwa si njema ni vyema Spika na Waziri wangeact kama watu wazima kuliko kuact kwa sababu ya matumbo yao.
Hakuna mtu asiyeijua Muhimbili,tunamadkatari lakini hatuna vifaa.ndiyo sababu tunasema hivi NIA,LENGO,na DHUMUNI la CCM lilkuwa kupeleka RAMBIRAMBI na si kuokoa maisha ya Lissu.
Akili ya binadamu inajua mengi kuliko ujinga mnaotuletea.
Si ndugai wala Ummy ambaye angekubali kama yeye angekuwa kwenye hali ya Lissu kupelekwa Muhimbili.Nina rafiki Muhimbili ni daktari aliwahi kuniambia ukisikia ninaumwa tafadhali Muhimbili iwe sestination ya mwisho kabisa kunipeleka maana yake nilitakiwa kumpeleka akiwa MIATI na siyo kutibiwa.
Tukubali tu Spika amechemka