Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,309
- 5,266
Shida yenu kelele nyingi lakini michango kiduchu. Yaani hadi sasa jumla ya michango (Matiko Account) ni TSh 11.4 milioni tu. Yaani hata kama ingalikuwa michango kwa ajili ya send off party ya binti wa Matiko saa hizi ingalikuwa na mamia ya mamilion.
Watu wanawahurumia mnavyotapeliwa kwenye michango hiyo. Ona sasa unasema kwamba hata huo mchango wa Sh 45 milion wa wabunge hauonekani uliko. Ni aibu kwa chama na taifa. Serikali inataka kuwanusuru mzigo huo mliojibebesha wenyewe ambao umewalemea, nyie hamtaki. Au kuna kitu mnanufaika nacho?
Non sense
Mnamng'ang'ania ili mkammalizie