dhambi zote ni sawa mbele za mungu na zambi zote afanyazo mtu zipo nje ya mwili lakini azinie anafanya ndani ya mwili wake na azinie na mwanamke ana akili kabisa afanya jambo litakomwangamiza nafsi yake
Drphone... Rekebisha sentensi yako kidogo hapo.. Inatakiwa isomeke hv HANA akili kabisa, afanya jambo litakalomwangamiza mwenyewe.. Ni kweli dhambi hii inahusisha mwili wako na ndani ya mwili wako.. Na ndio maana wengine wanadai MUNGU katuma kaugonjwa kwa wanadamu tumemkosea kwa uzinifu.
Vile vile watu wa zamani walikuwa wanaishi miaka mingi zaidi ya 400. Ila kutokana na uzinzi, Mungu akapunguza umri.
Hivi ilikuwa sahihi kwa Maria kupewa mimba wakati alikuwa mke mtarajiwa?
Kwani kulikuwa hamna wasichana wengine huru (not engaged or married) ambao wangeweza kubeba hiyo mimba ya roho mtakatifu? Kwanini [mungu] hakuona kwamba Josefu angejisikia vibaya (yaani kut0mb3wa).
Je hii inatufundisha nini kuhusu mtazamo na muelekeo wa mungu?
Kama hiyo hadisi ni ya ukweli, I am sure Joseph alijisikia vibaya sana hapo!
Na hii thread ya dhambi imekujaje huku? Kama kuna mtu wa kuambiwa chochote kuhusu pahali husika pa thread hii basi ni muanzisha thread, wala si mimi mchangiaji.