Mh. Deo Filikunjombe salute...

2015 ccm wakimpitisha pindi chana ludewa nitaenda kwa miguu kuwasaidia cdm washinde, i hate lawyers wanaopindisha facts kwa kutaka mamlaka, tangu 2010-2012 yeye na msaidizi wake ktk kamati yake bungeni wamemyumbisha sana mh.jk na kuiingiza serikali ktk malumbano na wanaharakati, cdm na hata mama yangu kombani aliumizwa na mchezo mbaya wa huyu dada na msaidizi wake .....mwenzake kaula yeye bado anachoma mahindi ktk uenyekiti. Wanasheria wanapaswa wawe mbele ktk kushauri serikali vema na kweli na si kujipendekeza ili wapate mamlaka!!!! Lawyers ni viongozi hivyo unafiki si sifa yao hata kidogo
 
Zitto kutamka kuwa yeye Jakaya Kikwete ni rafiki yake wa damu mkaja juu na hadi leo mnachukia,leo Deo flikunjombe katoa mchango kwa Chadema mmeanza kumsifia! Watanzania hasa wa JF tuelewe kuwa hatuwezi tenganishwa na ukuta wa vyama sisi ni ndugu na mtu awe huru kuonesha mapenzi yake huru kabisa!
 
Nimegundua we ni full. Sorce..aden rage.
CCM is a democratic party that why we allow to be challenged by tribal party like Chadema other than that we are good and are looking for big win in 2015

Chama
Gongo la mboto DSM
 
deo karibu sana chadema magamba wanakuchelewesha kwanza jimbo lako ni tajiri sana lakini watu wako bado ni walala hoi
 
Sabodo (mwana CCM) akichangia CDM ni sawa. Ila Filikunjombe (mwana CCM) akichangia CDM ni noma. Du!

Sabodo na Lwaitama ni wanafiki wanaotumia jina la chama kukijenga kiNGO cha mzee Mtei. Deo ni kiongozi wa chama.
 
mwenzako kasha jua matokeo ya hizi tim
 
Unalia nini wewe?
Deo ni mwanaume asiye ogopa!


Sabodo na Lwaitama ni wanafiki wanaotumia jina la chama kukijenga kiNGO cha mzee Mtei. Deo ni kiongozi wa chama.
 
pongezi mh.deo .tunataka tujue umesimamia wapi kama uko kwenye mafunzo tujue ama unatumika huku na kule ,wahenga walisema kaa nao ongea nao adui msimchukie soma akili yake .
 
Haya ulitakiwa uanze na mwenyekiti wenu alipomchagua Mbatia kua mbunge wa kuteuliwa ili aongeze nguvu ya upinzani bungeni, ama NCCR ni part of CCM?

kweli kabisa umemwambia cha maana!
 

Usiwe mshamba kiivyo ndugu. Hata Waziri Membe anaikubali M4C na alitamka kwa kinywa chake akiwa jimboni kwake kuwa CHADEMA itaingia magogoni 2015.
 
next time Lema akiichangia CCM msilie faul. Deo kawatega mkategeka
Freema, mtu anayefahamika kuwa yuko kwenye kundi la wachawi akijongea kwa watu wa MUNGU ni dalili za wokovu kumshukia na lazima apongezwe na kukaribishwa kwa shangwe kama kondoo aliyepotea. Ila mtu mwadilifu akianza kujihusisha na waovu mnapata mashaka na hofu kuwa anapotea na lazima muhuzunike na kumkanya.
Lema akichangia CCM ya sasa atakuwa amepotea na walio wema watahuzunika kwa kupotea kwake.
 
Kuna wabunge wafuatao hawa ni CHADEMA pure, pale magamba wana-kula na wanalala CHADEMA:

Ester Bulaya + Deo Filikunjombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…