Mh.Captain Komba,2015 utaimba mashairi gani ya kuinadi CCM?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,035
144,386
Mh,Captain Komba hivi wewe na kundi lako mnajua kibarua mlichonacho mwaka 2015 cha kuinadi ccm?Mnajua kuwa zile single zenu za ccm nambari one sasa hazikubaliki?Mnajua uelewa wa wananchi juu ya haki zao unakua wakati nyinyi mmejisahau?

Yaliyotokea Mtwara ni ushahidi tosha kuwa zile zama za kuinadi ccm na single yenu ya ccm nambari one haina tena mashiko.

Hivi mtaendelea kutuimbia ccm nambari one wakati haya yamo katika mioyo ya watanzania:-
1.Migomo ya walimu na madaktari iliyopuuzwa.
2.Mauji ya Daudi Mwangosi.
3.Kipigo na mateso ya Dr.Ulimboka
4.Mwenendo hasi wa wabunge wa ccm bungeni.
5.Kuongezeka kwa ugumu wa maisha.
6.Ugumu wa soko la ajira.
7.Ahadi hewa.
8.Utoroshaji wa wanyama pori
9.Kukithiri kwa wizi na ufisadi.

2015 labda mbadili mbinu maana hata kanga na vitenge vilivyoandikwa ccm nambari one itakua ni fedheha na itahitaji ujasiri kuzivaa.

Mashairi yenu yamechuja na yanakera masikioni.Pia yamekosa uhalisia na maisha halisi ya mtanzania.
 
Kwanza idadi ya wabunge wa CCM itaporomoka hadi watapagawa bunge lijalo!tunaanzia kwa Ndugai,Lusinde,Mwigulu,Makinda(alishaaga),na wengineo wazee woote wapumzike sasa!
 
Mh,Captain Komba hivi wewe na kundi lako mnajua kibarua mlichonacho mwaka 2015 cha kuinadi ccm?Mnajua kuwa zile single zenu za ccm nambari one sasa hazikubaliki?Mnajua uelewa wa wananchi juu ya haki zao unakua wakati nyinyi mmejisahau?

Yaliyotokea Mtwara ni ushahidi tosha kuwa zile zama za kuinadi ccm na single yenu ya ccm nambari one haina tena mashiko.

Hivi mtaendelea kutuimbia ccm nambari one wakati haya yamo katika mioyo ya watanzania:-
1.Migomo ya walimu na madaktari iliyopuuzwa.
2.Mauji ya Daudi Mwangosi.
3.Kipigo na mateso ya Dr.Ulimboka
4.Mwenendo hasi wa wabunge wa ccm bungeni.
5.Kuongezeka kwa ugumu wa maisha.
6.Ugumu wa soko la ajira.
7.Ahadi hewa.
8.Utoroshaji wa wanyama pori
9.Kukithiri kwa wizi na ufisadi.

2015 labda mbadili mbinu maana hata kanga na vitenge vilivyoandikwa ccm nambari wani itakua ni fedheha na itahitaji ujasiri kuzivaa.

Mashairi kama vile ccm nambari one yamechuja na yanakera masikioni.

mkuu kwasasa komba aka jipu la kwapa not rechabo yupo zake hivi na lulu wanaliwazana
 
mh,captain komba hivi wewe na kundi lako mnajua kibarua mlichonacho mwaka 2015 cha kuinadi ccm?mnajua kuwa zile single zenu za ccm nambari one sasa hazikubaliki?mnajua uelewa wa wananchi juu ya haki zao unakua wakati nyinyi mmejisahau?

Yaliyotokea mtwara ni ushahidi tosha kuwa zile zama za kuinadi ccm na single yenu ya ccm nambari one haina tena mashiko.

Hivi mtaendelea kutuimbia ccm nambari one wakati haya yamo katika mioyo ya watanzania:-
1.migomo ya walimu na madaktari iliyopuuzwa.
2.mauji ya daudi mwangosi.
3.kipigo na mateso ya dr.ulimboka
4.mwenendo hasi wa wabunge wa ccm bungeni.
5.kuongezeka kwa ugumu wa maisha.
6.ugumu wa soko la ajira.
7.ahadi hewa.
8.utoroshaji wa wanyama pori
9.kukithiri kwa wizi na ufisadi.

2015 labda mbadili mbinu maana hata kanga na vitenge vilivyoandikwa ccm nambari wani itakua ni fedheha na itahitaji ujasiri kuzivaa.

Mashairi kama vile ccm nambari one yamechuja na yanakera masikioni.

presha itapnda sasa hivi!!! Wewe endeleea kumtia hofu kapteni wa tot....
 
Kwani mara ya mwisho kumuona bungeni ama hadharani Komba ni lini.? Ataweza kuimba tena kama kujitokeza ni taabu?
 
Watawachukua wale wa ubongo fleva,ze comedi n leka dutigite wasahaulis
He machungu ya wananchi majukwani.
 
Ataimba kuzisifu mahakama za serikali ya CCM kwa kumpa dhamana Lulu.
 
waache wajifie zao tuh
natamani sana mungu aniweke hai angalau nishuhudie kifo cha maccm, na nina imani mungu atanisaidia na kunisikiliza kwa hili niombalo, pia its good waondoke angalau watanzania wote tufaidi rasilmali alizotupa mungu
 
Magamba hawana haibu hata kidogo. Siunawaona baadhi yao hapa jf wanavyorazimisha ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli. Wamezifanya siasa zetu zionekana ni uongo.
 
Ataimba yale matusi ya mwigulu na lusinde bila kusahau propaganda za nepi.
 
Mh,Captain Komba hivi wewe na kundi lako mnajua kibarua mlichonacho mwaka 2015 cha kuinadi ccm?Mnajua kuwa zile single zenu za ccm nambari one sasa hazikubaliki?Mnajua uelewa wa wananchi juu ya haki zao unakua wakati nyinyi mmejisahau?

Yaliyotokea Mtwara ni ushahidi tosha kuwa zile zama za kuinadi ccm na single yenu ya ccm nambari one haina tena mashiko.

Hivi mtaendelea kutuimbia ccm nambari one wakati haya yamo katika mioyo ya watanzania:-
1.Migomo ya walimu na madaktari iliyopuuzwa.
2.Mauji ya Daudi Mwangosi.
3.Kipigo na mateso ya Dr.Ulimboka
4.Mwenendo hasi wa wabunge wa ccm bungeni.
5.Kuongezeka kwa ugumu wa maisha.
6.Ugumu wa soko la ajira.
7.Ahadi hewa.
8.Utoroshaji wa wanyama pori
9.Kukithiri kwa wizi na ufisadi.

2015 labda mbadili mbinu maana hata kanga na vitenge vilivyoandikwa ccm nambari one itakua ni fedheha na itahitaji ujasiri kuzivaa.

Mashairi yenu yamechuja na yanakera masikioni.Pia yamekosa uhalisia na maisha halisi ya mtanzania.

Akikurupukaga usingizine Bungeni huku udenda ukimchuruzika neno la kwaanza kusema ni ''NDIOOOOOOOOO''
 
Back
Top Bottom