Hakuna cha kumuelewa wala nini... ATITOLWIKI TA VA KUTUHI NA VAYITU VOHA VA PALOCHI...Naamini watu wa Mbinga Magharibi wamekuelewa,ila wengine naona ni kama haiwahusu vile.
Kama ana uchungu na wananchi wake mbona muda mwingi anakuwa amelala bungeni wakati matatizo ya wananchi yanajadiliwa? na yeye siku zote michango yake bungeni ni kuhusu chadema utafikiri ndo waliompeleka bungeni!!
wapeleke huduma TBC wakati hata umeme hakuna mi nilifikiri angeanza na swala la umeme kwanza, miaka nenda rudi, tieni, tieni kwa moyo wote! wananchi wa mbinga hawana umeme? halafu eti tunachangie huduma ya umeme vijijini mbona huko vijijini haufiki, na mbinga inamakaa ya mawe?
Akitoa hoja yake bungeni leo asubuhi,ameilalamikia serikali kwa kuwatelekeza wananchi wake wa Mbinga Magharibi kuwa maisha yao ni duni sana.Amepongeza serikali kuipa fedha TBC, lakini ameomba serikali ijaribu kuwafikishia upatikanaji wa huduma za TBC jimboni kwake.Lakini pia amesisitiza kwa M/kiti wa bunge Mh. Mhagama kujenga barabara mapema kama ambavyo serikali imetenga fedha.Kwa masikitiko makubwa aliongeza kwa kusema kuwa wananchi wake ktk eneo la ziwa nyasa wamekuwa wakiishi maisha duni sana kiasi hata usafiri wa majini bado ni kitendawili, maana wanatumia mitumbwi. HONGERA Mh. Capt. J.D KOMBA kwa kuwatetea wananchi wako
hacha kuangalia bunge tunaomboleza sisi sawa