Mh. Capt. Alalamika bungeni kuwa wananchi wake ni duni kimaisha.

diunal

JF-Expert Member
May 12, 2013
499
70
Akitoa hoja yake bungeni leo asubuhi,ameilalamikia serikali kwa kuwatelekeza wananchi wake wa Mbinga Magharibi kuwa maisha yao ni duni sana.Amepongeza serikali kuipa fedha TBC, lakini ameomba serikali ijaribu kuwafikishia upatikanaji wa huduma za TBC jimboni kwake.Lakini pia amesisitiza kwa M/kiti wa bunge Mh. Mhagama kujenga barabara mapema kama ambavyo serikali imetenga fedha.Kwa masikitiko makubwa aliongeza kwa kusema kuwa wananchi wake ktk eneo la ziwa nyasa wamekuwa wakiishi maisha duni sana kiasi hata usafiri wa majini bado ni kitendawili, maana wanatumia mitumbwi. HONGERA Mh. Capt. J.D KOMBA kwa kuwatetea wananchi wako
 
Naamini watu wa Mbinga Magharibi wamekuelewa,ila wengine naona ni kama haiwahusu vile.
 
Singing

komba2.jpg

Dancing

9k=

Sleeping

images
 
tieni kwa moyo mmoja! Haha jamaa analalamika nini wakati anaiunga mkono serikali dhalimu ya ccm! Na hao wananchi maisha yao duni coz wanaikumbatia ccm. Mpaka siku watakapoacha kuichagua ccm
 
Kama ana uchungu na wananchi wake mbona muda mwingi anakuwa amelala bungeni wakati matatizo ya wananchi yanajadiliwa? na yeye siku zote michango yake bungeni ni kuhusu chadema utafikiri ndo waliompeleka bungeni!!
 
Anakumbuka shuka wakati kumeshakucha, asubiri 2015 aone M4C itakavyomnyonyoa...
 
Halali ndugu!!

Huwa natakuwa natafakari juu ya matatizo ya jimbo lake! Self reflexions!

Huko sii kulala!

Hali hii hutumiwa na wabunge wengi pia akiwemo Wassira!

Kama ana uchungu na wananchi wake mbona muda mwingi anakuwa amelala bungeni wakati matatizo ya wananchi yanajadiliwa? na yeye siku zote michango yake bungeni ni kuhusu chadema utafikiri ndo waliompeleka bungeni!!
 
watz bwana,angekaa kimya mngesema bubu,acha awatete wananch wake serikal yetu sikivu imemsikia.hongera KOMBA
 
wapeleke huduma TBC wakati hata umeme hakuna mi nilifikiri angeanza na swala la umeme kwanza, miaka nenda rudi, tieni, tieni kwa moyo wote! wananchi wa mbinga hawana umeme? halafu eti tunachangie huduma ya umeme vijijini mbona huko vijijini haufiki, na mbinga inamakaa ya mawe?
 
Jamani mwacheni Capt. atumie haki yake ya kuwasilisha matatizo ya wapiga kura wake!!!!
 
Kazi yake kulala tu bungeni, saa ngapi wananchi watakuwa na hali nzuri?
 
Akitoa hoja yake bungeni leo asubuhi,ameilalamikia serikali kwa kuwatelekeza wananchi wake wa Mbinga Magharibi kuwa maisha yao ni duni sana.Amepongeza serikali kuipa fedha TBC, lakini ameomba serikali ijaribu kuwafikishia upatikanaji wa huduma za TBC jimboni kwake.Lakini pia amesisitiza kwa M/kiti wa bunge Mh. Mhagama kujenga barabara mapema kama ambavyo serikali imetenga fedha.Kwa masikitiko makubwa aliongeza kwa kusema kuwa wananchi wake ktk eneo la ziwa nyasa wamekuwa wakiishi maisha duni sana kiasi hata usafiri wa majini bado ni kitendawili, maana wanatumia mitumbwi. HONGERA Mh. Capt. J.D KOMBA kwa kuwatetea wananchi wako

Wananchi wa Mbinga Magharibi wangeshapata baadhi ya huduma mapema ikiwa huyu Komba angekuwa serious hayuko serious kwasababu amekuwa akiunga mkono hoja wakati ambapo ilikuwa apinge kwa vigezo ili aweze kuishitua serikali ikaweza kumfanyia kile ambacho anakitaka. Umbea wa wabunge wa CCM utaigharimu CCM 2015.
 
hacha kuangalia bunge tunaomboleza sisi sawa

* Hacha = Acha

* Imetangazwa wapi kuwa wanachama CDM wasiangalie Bunge

*Naungana na watanzania wengine kulaani Maovu yaliyofanywa dhidi ya ndugu zangu CDM.Lakin sio kwa mtizamo wako kwamba nisiangalie Bunge.

* Kama ndivyo basi, hata humu JF hukutakiwa kutembelea
 
Komba huyu huyu awe ana maanisha alichokisema basi hali sio nzuri angalia anavyochangia mada nyepesi eti tbc kati ya umeme na tbc kipi bora?achangie topic nzito tena
 
Akitoa hoja yake bungeni leo asubuhi,ameilalamikia serikali kwa kuwatelekeza wananchi wake wa Mbinga Magharibi kuwa maisha yao ni duni sana.Amepongeza serikali kuipa fedha TBC, lakini ameomba serikali ijaribu kuwafikishia upatikanaji wa huduma za TBC jimboni kwake.Lakini pia amesisitiza kwa M/kiti wa bunge Mh. Mhagama kujenga barabara mapema kama ambavyo serikali imetenga fedha.Kwa masikitiko makubwa aliongeza kwa kusema kuwa wananchi wake ktk eneo la ziwa nyasa wamekuwa wakiishi maisha duni sana kiasi hata usafiri wa majini bado ni kitendawili, maana wanatumia mitumbwi. HONGERA Mh. Capt. J.D KOMBA kwa kuwatetea wananchi wako

Acha hizo hapo ndo kawatetea huko. Umaskini wa wanyasa ndo anaujua leo aliokua analala akiamuka anaponda wapimzani aende huko magamba
 
hahahaha ninapoandia uziu niko ndani ya jimbo la mh komba yaani maisha ni duni hakuna barabara,huduma za afya ndiyo usiseme mi nashangaa jamaa anaomba TBC wakati hata umeme nyasa hakuna,afya,elimu duni.WAMATENGO WA MBINGA MAGHALIMBI WAMECHOKA BALAA tofauti na MBINGA MASHARIKI HAWA NI WAMATENGO AFADHALI kwa ujmla mbinga wamechoka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom