Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,728
- 18,242
Jamani wewe kwani we umeona upo wapi hapo bibie financial ?[emoji23][emoji23][emoji23] unamaanisha ubongo wa mleta uzi upo wapi? Dah[emoji23]
Jamani wewe kwani we umeona upo wapi hapo bibie financial ?[emoji23][emoji23][emoji23] unamaanisha ubongo wa mleta uzi upo wapi? Dah[emoji23]
Aah sema wewe upo wapi hapo😂Jamani wewe kwani we umeona upo wapi hapo bibie financial ?
Ngoja nianzie hapa , halafu nirud kusoma tena uzi halafu nirud kwenye comments huenda dots zikaungana akatokea kanga au chuiMambo ya usagaji...
Baba Jayrose na mama Jayrose waliona 2005.
Inavyosemekana baada ya kula na kunywa aunty Kikuku na aunty walilala pamoja mpaka asubuhi. Baada ya hapo aunty na Kikuku waliishi pamoja kama mke na mume.
Baba Jayrose ghafla aliamua kufunga safari. Mama Kikuku alizipata habari kutoka kwa Oga Kwatakwata kwamba Baba Jayrose ameomba likizo. Alimstua aunty na haraka aunty alitafuta apartment na kumsubiri mgeni.
Baada ya ugeni kuishi, baba Jayrose alitudi nyumbani. Likizo ilipofika mana Jayrose alirudi nyumbani. Akitegemea anarudi chuo kuendelea na mwaka wa pili. Kwa taharuki baba Jayrose alimfahamisha kuwa hakuna safari yeyote zaidi ya kufunguliwa duka kujengewa banda la kuku.
Aunty aligeuka kuwa auntii wa Kikuku.
Ila jf kisiwa cha burudan Mana sio kwa hilo jibuNgoja nianzie hapa , halafu nirud kusoma tena uzi halafu nirud kwenye comments huenda dots zikaungana akatokea kanga au chui
Mtoto wa mfanyakazi mwenzake baba jayrose anayeitwa kukuu amemtafuna mama jayrose baada ya kuwa mwenyeji wake chuoni, Ila mshikaji ameshtukia deal na kufunga ufadhili wa masomo kwa mkewe.aliyeelewa hii kitu anipe summary.