Ndugu yangu Bujibuji...majibu ninayo meeeengi sana kiasi ya kwamba sina jibu tena mana ktk maisha mm ni muumini wa kuamini swali lolote uaga na jibu moja tu na io ndiyo inanifanya niseme sina jibu.kama sijaelewa bado.....
Ila nimeona bendera ya Tanzania na ya Uchina zikipepea nusu mlingoti. Inayopepea juu ya mlingoti ni bendera ya Afrika ya kusini
Ndugu yangu Bujibuji...majibu ninayo meeeengi sana kiasi ya kwamba sina jibu tena mana ktk maisha mm ni muumini wa kuamini swali lolote uaga na jibu moja tu na io ndiyo inanifanya niseme sina jibu.
nikweli bendera ya TZ na Uchina io nadhan ndiyo zapepea nusu mlingoti na hii yote ni maombolezo ya Nungwi pemba baada ya mel kuzama.
je ao ambao awajashusha nin maana yake???
na kiutaratibu na sheria za kawaida hii imekaaaje???
DUUU! Mkuu nani kakwambia Rais alitangaza mapumziko ya siku tatu! Alichokitangaza ni siku tatu za maombolezo na kuwa wakati huo bendera ya Tanzania zipandishwe nusu mlingoti.Awali ya yote na ninyi nyooote napenda nidcrea interest...mimi ni mpendwa ninaye amini na kusimamia kwamba YESU ndiyo bwana na mwokozi wangu,Amen.
Kisha turudi katika isue ya mh....aseeeee!!! ???
Nimeshow interest yangu kwa bwana na kiongozi wangu kwani nalo fanya alinitahadharisha kuwa jambo lolote tulinene kwa uaminifu na kweli tena kwa hofu ya Mungu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano alilitangazia taifa mapumziko ya siku tatu na zaidi bendera zitapepea nusu mlingoti,je hapa inamaanisha nini?sina majibu
Source😛ic coted from a gud guy face buk page with no pamishen to say his real name.
katika hili la msiba wa ZNZ balozi nyingi lazime zipate idhini toka kwao , ndio maana ZA ama south uliona ilkipepepa juu na china ikiwa nusu maamuzi yalitoka nchini kwao ndio taratibu.
Kumbuka TZ ilivyo ikomalia NTC ya lbya hapa bongo kuhusu bendera , lazima taratibu zifuatwe.