MH. akikagua gwaride...kama naniiiii

MH. akikagua gwaride...kama naniiiii

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
533871_480224778667234_1203300637_n.jpg
 
Alivyobetua midomo ni kama vile kilikuwa kimenuka.
 
Hii ni kabla ya RICMOND nini maana jamaa alikuwa juu sana alimfukuza mhandisi wa wilaya ya Temeke kwenye TV hahaha kila zama na kitabu chake for sure
 
ha ha waziri fisad huyo anajulikana kwa wezi wake halafu mubayaa.
 
Hapa km natokea ile pande ya oldoinyo lengai kisa namalisa kamua masiwa ya mbusi:target:
 
... Lowassa 'MwanaMarundi' na mvua za kupepea toka Thailand; daaah, tumetoka mbali..!
 
inawezakana ni gwaride la shule anayomiliki huko majuu
 
Akiota wakati huo anapagawa na kumwaga chumo la wizi kama hana akili nzuri. Mungu aliwapiga laana yeye na mwenzake Chinawatra wakapigwa kibuti. Shame on them all!
 
Huyu chalii ana damu safi sana, pamoja na ufisadi wote bado raia kibao wanampa shavu...
 
Back
Top Bottom