CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #21
Pole sana Na Dr Jiwe nipo hapa, ngoja niende huku shamba nikuletee dawa za asili kwanza kabla hujaanza hizo za kichina
Wakati unasubiri hii dawa paka kwanza mafuta ya mkia wa kondoo kama first aid
Don Mangi, hapo kuna 80% ya sit ninayotumia ofisi huenda ikasababisha. na 20% ni sign ya appendix. swali je appendix ina uhusiano gani na mguu?
hali zenu wadau,
leo ni siku ya tatu nahic mguu wangu wa kulia unakosa nguvu. unakuwa kama unakufa ganzi hivi, nikitembea unakuwa mzito kweli ila hauumia kabisa. je kuna ambaye anaweza kujua hili ni tatizo gani?
Nna wasiwasi basi na seat unayoitumia ofisini, ikoje? And una gari?
Pole kwanza!
Pili , due my experience inapotokea maumivu ya kiivo especially durin rain seasonal , na hasa yakiwa ni kuhusu miguu, mostly hua ni Rhumatism .
Btw yote kwa yote you just seek madical consultation .
Hebu cheki jinsi ile unaketi, wakati mwingine uketiji huwa unaweza sababisha ganzi kwa mguu.
Kama uketiji hauna tatizo basi ukiwa umeketi/umelala uwe unaunyoosha kwa muda mrefu ili kuruhusu mzunguko wa damu kwa mguu husika...
Ganzi zikizidi, muone Daktari...