Mguu wa mwanaume wa Dar

Tatizo mmeshazoea miguu kama matairi ya tractor!acheni kumuonea wivu mwenzenu,na nyie tunzeni itakua mizuri zaidi ya huu
 
Wakolomije wacheni kashfa, mkija hapa Dar mnaishia kuwa mashoga.
 
Tatizo mmeshazoea miguu kama matairi ya tractor!acheni kumuonea wivu mwenzenu,na nyie tunzeni itakua mizuri zaidi ya huu
Madam mwanaume ni kukauka kau kau na kaharufu ka jasho jasho kwa umbali pia ni lazima. [emoji38]
 
We mleta mada tuoneshe mguu wako basi

OvA
 
Dah aisee!!

Nilivyoona hilo guu la bia nikakumbuka ile thread ya wanaume kuvaa vikaptula ...

Hebu naiombeni nicheke comments za mule.
 
Mambo ya Walawi : Mlango 19

28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
Siku hizi naona umekua mchungaji hongera lakini vipi una elimu ya kuanzisha kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…