Mguu wa mwanaume wa Dar

duuuuuuuuuuuuh
Ameweka tattoo ya simba ila haina uhalisia na maisha yake ukute hana nguvu kama za simba
Ni shabiki wa mikia anasubiri pambano la watani wa jadi!
 
Huo sio mguu wa mwanaume wa Dar. Ni mguu wa mtu ambaye alikimbia umande. Hakuandika vya kutosha kwenye madaftari so bado kiu ya kuandika andika na kuchora haijaisha na wengi ndio hawa wanamalizia kiu hiyo kwenye miili yao.
 
Huyo simba hana maana yoyote hapo bora angejichorea kipepeo tu.
 
Me nikajua ni ule "mguu" !,. Kwa maana ingekuwa patashika kwa wanaume wa dar[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…