Mguu wa Chimbo

aaah wapi wa mwana ccm ambaye anasema hafi wala hajinyongi ccm mbele kwa mbele.... chadema hakuna watu wa aina hii πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜›



hahahah na kama huu mguu ungekuwa kongoro doooooooooo ingebidi lichemshwe kwa magadi
 
Huyu jamaa Hatelezi kwenye utelezi.... Miguu inatoa maximum friction na ardhi
 
Ngoma hata kwenye tiles haitelezi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…