Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,601
- 15,935
Tufunge mipaka mapema sana na kwenye viwanja vya ndege
Uchumi wenu unaporomokaTufunge mipaka mapema sana na kwenye viwanja vya ndege
NI maradhi gani hayo tuliyaficha?
Elimu yako ndio ina mapungufu ya kutosha na ndio maana ulikuwa unashirikiana na hao mabwana zenu kueneza propaganda kuwa Tanzania tunaficha uwepo wa ebola halafu leo hii unakana eti tena bila aibu,
Mlifungua nyuzi za kijinga za kuisema Tanzania inaficha uwepo wa ebola,
Hizi nyuzi ni akili gani ilikuwa inakutuma kuzifungua kwa kudai Tanzania Kuna ebola?
Kwanini hukufungua nyuzi za kuwakemea hao mabwana zenu kwa propaganda walizo kuwa wanazieneza au kwa sababu mnapenda kuwa shobokea wazungu kwa hiyo kila wanachosema huwa ni lazima muamini!
Tetesi: - Ebola in East Africa
Duh!!jamaa kiukwel hizi habari zimenishtua sana..yani sijui serikali zetu zikoje, manake huku WHO wanasema kuna mgonjwa wa ebola aliingia tanzania wakati waziri wa tanzania juzi tu kapinga kuhusu hzo taarifa.. Sasa sijui wakumuamini nani..manake sasa ni balaa km itakua ni kweli..sijui hao...www.jamiiforums.comMabeberu bado wanaifuata Tanzania, CDC nao watoa tahadhari kwa wasafiri wanaokwenda Tanzania wajihadhari Ebola
Shirika la kimarekani linalohusika na masuala ya afya na lenye ofisi kwenye mataifa mbali mbali duniani ikiwemo Tanzania, limetoa tahadhari kwa wasafiri wote wanaokwenda Tanzania, Wameshauri wasafiri wawe makini na kuepuka kugusana na mtu yeyote. Hawa hadi siku mtawaruhusu wakague wenyewe na...www.jamiiforums.comWHO wailaumu Tanzania kwa kuficha uchunguzi wa muathrika aliyeshukiwa kuugua Ebola - Reuters
Sio kawaida kwa hili shirika kuisema vibaya nchi yoyote, kwa hiili hadi wameamua kuenda kinyume na desturi yao ya ukimya, ni muhimu sana wakaachiwa wafanye ukaguzi na uchunguzi wenyewe, ugonjwa wa Ebola sio kitu chepesi cha kutupiana lawama kihivi hivi. Kuendelea kuwabania kwa usiri wa kihivi...www.jamiiforums.comHii ni baadhi ya commentTanzania declined to share data on suspected Ebola cases: WHO
The World Health Organization (WHO) says Tanzania has refused to provide detailed information on suspected Ebola cases. In a statement on Saturday, the UN health agency said despite several requests "to date, clinical data, results of the investigations, possible contacts and potential...www.jamiiforums.com
Elimu yangu ni bora mara Mia ya hiyo elimu yako uchwara uliyoenda kufundishwa ukabila na kubaguana bila kusahau fake English accent,Ndio maana nikasema inabidi nikuelewe maana elimu yenu ovyoo sana, mtu unashindwa kusoma na kuelewa, hamna sehemu hata moja kwenye nyuzi zangu nilisema kuwa ebola iko confirmed, muda wote nilikua narudia kile WHO wanakisema, kwamba walikua wanaomba waruhusiwe wakague wenyewe, nyie mkaficha maradhi hamuwapi hiyo fursa, hayo ni maisha ya hovyoo sana, kuficha maradhi na kukataa ukaguliwe, kwanza aina ya maradhi yenye maangamizi kama ebola sio kitu cha kujifungia ndani, unafaa kuruhusu wataalam waje wakague.
Kwetu hapa narudia tena, na kama una utindio wa ubongo hutaelewa hata nikikujibu mara mia, kwetu hatufichi wala kukataa kukaguliwa, WHO au yeyote anayo ruksa aje na wataalam wake wakague sampuli zote, waingie kote kote, maana hiki sio kitu cha kuficha, lazima tushirikiane dunia yote kukiangamiza.
Ikitajwa kwetu kuna mtu anashukiwa kuwa na ebola, visenti vya utalii haviwezi kutuzuia kuruhusu kukaguliwa, bora tuvikose kwa mwaka mmoja ila tusiangamie kwa tamaa ya hela, huo utakua ujinga.
Mleta mda humu nilichokua namshauri, alete habari kama alivyoikuta, asichanganye changanye mara anasema "inashukiwa" mara anasema "imethibitishwa".
Haitokuja hata siku moja tufanye ujinga kama mlivyofanya, maradhi sio kitu cha kufichwa hadi dunia nzima inaanza kuwaomba mtoe ushirikiano.
Elimu yangu ni bora mara Mia ya hiyo elimu yako uchwara uliyoenda kufundishwa ukabila na kubaguana bila kusahau fake English accent,
Bumunda utabaki kuwa Bumunda tu hata uandike insha kurasa kibao,
Ulivyokuwa unafungua hizo nyuzi eti unawanukuu hao mabwana zenu kuwa Tanzania inaficha ebola eti hatutaki kuruhusu mabwana zenu wachunguze ebola,
Leo eti bila aibu ndio unajifanya kutambua eti huo ugonjwa ukiwa Kenya utaenea popote lakini kipindi cha propaganda za kuwepo kwa ebola hukufungua nyuzi za kuwakemea hao mabwana zenu waliokuwa wanasema tunaficha uwepo wa ebola.... Cha kushangaza ulikuwa mstari wa mbele kufungua hizo nyuzi uchwara c & p kutoka kwa hao mabwana zenu,
Halafu unaandika "tukaficha maradhi" maradhi gani tuliyaficha?
Hayo maradhi yaliyofichwa yako wapi?
Kula tunda kimasiharaHakuna tunachojua wala kipaumbele ni kipi tupo tupo tu, labda kujisifia uzinzi ndiyo tunaongoza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nijenge hoja na bumunda kama wewe?Hehehe!! Naona umeshindwa kabisa kujenga hoja, unazunguka mbuyu, ila kama nilivyosema nalaumu elimu yenu, anyway kwa kifupi nakuacha na hilo nililokuambia sisi hatukatazi waje wakague, hatufichi maradhi kama nyie, waje WHO au mtaalam yeyote, hamna kitu kibaya kama umaskini, yaani unaogopa kupoteza visenti vya utalii mpaka unaamua bora uangamie kwa kitu hatari.
Nijenge hoja na bumunda kama wewe?
Unarudia tena kusema tunaficha maradhi... Hayo maradhi yako wapi?
Unaweza vipi kuficha ebola?
Umasikini ni mbaya na ndio maana wakenya wanaenda chooni kwa hisani ya Wachina, warusi, waarabu na wazungu,
Matatizo yakiwakuta eti ndio mnaanza kujifanya mko humble wakati yakitokea kwa jirani ndio kwanza kuchekelea kwa kufungua nyuzi za za kijinga,
Failed state.
Utajuaje kusoma wakati familia yako iliuza ngombe ili isomeshe ngombe.Hapo utakua umelewa hata nashindwa kusoma unachoandika maana wewe mwenyewe utakua hujui unaandika nini, haya usiku mwema.
We kweli fambaNdio nimesema nilishazoea mapungufu ya elimu yenu, huwa mumeganda sio mchezo aisei, angalia na urudie huo uzi wangu mara kumi nahisi utafahamu na kuelewa hamna sehemu Tanzania ililazimishwa kutangaza kama ina Ebola, kile mlikua mnaambiwa ni kwamba mtoe ushirkiano, waje wakagaue na kujiridhisha.
Sisi sio waficha maradhi kama mlivyo, hiki kirusi kama kimetajwa kushukiwa huku, waje wote tu wakague maabara, waingie mpaka jikoni, hatufichi maradhi, hii sio North Korea.
So, unataka kusema bongo walificha maradhi ya Ebola.Hakuna na haitokuja hata siku moja Wakenya tuwe na roho nyeusi kama za Watanzania, hakuna uzi hata mmoja ulifunguliwa na Mkenya yeyote wa kuchekelea Tanzania, tatizo lenu kubwa ni ukosefu wa elimu, huwapa changamoto hadi kusoma na kuelewa kunawapa matatizo.
Sina tatizo la mleta mada kutuhabarisha kuhusu huu ugonjwa kushukiwa kwetu hapa, sisi sio waficha maradhi kama nyie, kile ninachomshauri ni atupatie taarifa kama alivyozikuta, asichanganye, mara anatuambia "ugonjwa umepatikana" mara "inashukiwa".
We jamaa mimi nimekuelewa kwenye hoja yako .. swali ni kama tulificha WHO wasitukague na tukaficha maradhi mlishawahi kusikia kesi yoyote kuhusu ebola Tanzania .maana najua media zenu zinajua sana kuandika kuhusu Tanzania . Tupe maandishi na machapisho kuhusu ebola nchini kwetuHapo utakua umelewa hata nashindwa kusoma unachoandika maana wewe mwenyewe utakua hujui unaandika nini, haya usiku mwema.
Nzige tu huko ni shida mpaka msaada jamani!Nijenge hoja na bumunda kama wewe?
Unarudia tena kusema tunaficha maradhi... Hayo maradhi yako wapi?
Unaweza vipi kuficha ebola?
Umasikini ni mbaya na ndio maana wakenya wanaenda chooni kwa hisani ya Wachina, warusi, waarabu na wazungu,
Matatizo yakiwakuta eti ndio mnaanza kujifanya mko humble wakati yakitokea kwa jirani ndio kwanza kuchekelea kwa kufungua nyuzi za za kijinga,
Failed state.
Jamaa wanajikuta wajuaji kumbe hamna kitu kabisa.
Sio wakenya tu na Watz wanaotokea Kenya wapimwe.Wakenya wanaokuja tz wapimwe