Kwa wale wenye Ugonjwa Figo na vijiwe ndani ya figo Tiba Mbadala hii naitoa Chukua kitunguu bila kukichambua, tia mbegu ya tende baada ya kuichoma kama vile buni na kuisaga; halafu kila siku kula kimoja kula kimoja kwa muda wa wiki.
Mkuu Jamadari kakusudia ni kitunguu maji kitoe maganda yake bila hata kukikata kisha tia kwa ndani ule unga wa mbegu za Tende uliochoma kama watu wanavyounguza kahawa buni, tia ndani yake uwe unakula hicho kitunguu maji na ule unga wa mbegu ya Tende. Au pia tumia Dawa yangu hiii changanya kwa pamoja juisi ya kiazi sukari juisi ya tango na juisi ya karoti kunywa kila siku mara tatu au mara nne kwa sikuMkuu kitunguu kipi? kinasagwa? toa maelezo vizuri mkuu. nasumburiwa sana na hili tatizo.