Mgonjwa kagoma kutoa password

Mgonjwa kagoma kutoa password

Ndio maana inaitwa password. Ni namba ya siri unayotakiwa kuijuia wewe peke yako. Safi sana mgonjwa
 
Hata mimi nikiwa na hela nyingi sana kwenye account yangu nitafanya hivyo nisije hujumiwa maisha kwa tamaa za hao watakaona mabilioni yangu.
 
Back
Top Bottom