That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus.
Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.
Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele
That's a very easy and weak move for a president to do, even a kindergarten girl if chosen to be president of this ill fated country blessed with a very high significant and overwhelming low IQ citizens can perform such political circus like visiting those poor folks in hospitals.
Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yameteketea kwenye kampen yako kumdhibiti tu mtu mmoja. Bongo baaadoooooooooo yani badooo.
Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia na kujizolea sifa za kijinga kwa mambo madogo madogooooooo ambayo hata joti, nyamayao, mpoki, mchizmox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya tena kwa weledi uliotukuka.
JK naye alijizolea sifa hivi hivi kwa mambo madogo madogo kumleta maximo ziara za ghafla hospitalin kuhudhuria misiba kwa fujo na kaSi ya ajab, kuwalinda maalbino kwa mdomo, kuwakingia kifua wanafunzi wakike wasipate mimba kwa mdomo na mzahaha
Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele[/QUOTE
Acha tabia za kijinga na za kike ww!! alichokifanya kibaya rais hapo ni kipi? ulitaka akawatembelee matajir apolo hospital? unawaza kwa kutumia nn wewe?? vitu vingne bora mkaage kimya tu!!
nikusahihishe waliiba kura. Nilikuwepo bongo na kura nilipiga kwa rais wa mioyo ya watanzania
wewe baki huko copenhagen watanzania waliopiga kura wamechagua huyuhuyu ambaye weye uliyekimbia nchi unamuona hafai... kama ulihitaji mabadiliko ungerudi TZ na kupiga kura ... otherwise just shut the hell up...
hapakazi tu!
tabia za kike na za kijinga ndio hizo za kuwaibia watanzania nyumba zao kununua vivuko kifisad kusafisha na kukomba hazina halaf kwenda hospatani kuwasanif na kuwazihak unawaonea hurumaThat's a very easy and weak move for a president to do, even a kindergarten girl if chosen to be president of this ill fated country blessed with a very high significant and overwhelming low IQ citizens can perform such political circus like visiting those poor folks in hospitals.
Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yameteketea kwenye kampen yako kumdhibiti tu mtu mmoja. Bongo baaadoooooooooo yani badooo.
Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia na kujizolea sifa za kijinga kwa mambo madogo madogooooooo ambayo hata joti, nyamayao, mpoki, mchizmox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya tena kwa weledi uliotukuka.
JK naye alijizolea sifa hivi hivi kwa mambo madogo madogo kumleta maximo ziara za ghafla hospitalin kuhudhuria misiba kwa fujo na kaSi ya ajab, kuwalinda maalbino kwa mdomo, kuwakingia kifua wanafunzi wakike wasipate mimba kwa mdomo na mzahaha
Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele[/QUOTE
Acha tabia za kijinga na za kike ww!! alichokifanya kibaya rais hapo ni kipi? ulitaka akawatembelee matajir apolo hospital? unawaza kwa kutumia nn wewe?? vitu vingne bora mkaage kimya tu!!
hata kama amelivalia njuga hatafanya lolote wote ni maboriti hawezi kutoa kibanz kwa jicho la mwenzake.Magufuli hili jambo la safari za ulaya mbona amelishikilia bango..???
Jamani hebu tuondoleeni hivi viingereza vyenu vibovu bovu hapa. Hivi mnavyofanya hivi mnatakakumtisha nani sasa? Eti blessed adamantly, duh.That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus...
Eti blessed adamantly, duh. Jamani hebu acheni huu mtindo wa kutaka kujifanya mnafahamu sana lugha ya Kiingereza. Hata kujieleza kwa Kiswahili tu inatosha. Hakuna haja ya kuanza kutishana tishana hapa.That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus...
Eti blessed adamantly, duh. Jamani hebu acheni huu mtindo wa kutaka kujifanya mnafahamu sana lugha ya Kiingereza. Hata kujieleza kwa Kiswahili tu inatosha. Hakuna haja ya kuanza kutishana tishana hapa.
Hapo vipi tena?Haijalishi nilishasahisha longtime NI autocorect iyo gamba lililokubuhu
cheki hapo juu nilishasahisha long time. Yani mm kuandika kiingereza tu unatokwa povu. Bongo badooooJamani hebu tuondoleeni hivi viingereza vyenu vibovu bovu hapa. Hivi mnavyofanya hivi mnatakakumtisha nani sasa? Eti blessed adamantly, duh.
Bro naona shanga imedondoka umeinama kuokota. Kenge mwenye jinsia mbili wewe!!!Hapo vipi tena?
Hebu jaribu kubong'oa kwanza, halafu tuongee baada ya hapo. Unajifanya unajua lugha chafu sio?Bro naona shanga imedondoka umeinama kuokota. Kenge mwenye jinsia mbili wewe!!!
dogo usinitafute ubaya unajua naweza kuwa babako wa kambo. Hilo unalifaham:eek2:Hebu jaribu kubong'oa kwanza, halafu tuongee baada ya hapo. Unajifanya unajua lugha chafu sio?
Hold kaeft. Engelsk har aldrig vaeret og vil aldrig blive dit sprog. Forstaar du?cheki hapo juu nilishasahisha long time. Yani mm kuandika kiingereza tu unatokwa povu. Bongo badoooo