Mgonjwa aliyefanya ziara

Kwenda kuzungumza na vyombo vya habari ndiyo kupona?
Au unadhani wagojwa wote bongo zao ni gonjwa na midomo yao haiwezi kuongea?
Kiakiliccm kuongea na vyombo vya habari ama kusafiri inamaanisha kupona....
Sishangai kuona mtoa tamko yule kuwa hata yeye ni mgonjwa na alipaswa kuwa hospitali akipata matibabu lakini ndio hivyo (patajatumika kisingizio "alikuwa mgonjwa") msameheni
 

Lissu ni tishio hata huko upinzani, Lowassa angepewa nafasi ya kugombea? Lissu anapigwa vita na jiwe, haya yanayomkuta ni mamlaka ya jiwe kutumika vibaya kumafanyizia yoyote anaye mchallange. Kwa Afrika ni kawaida sana mtawala kutumia madaraka yake kutekeleza utashi wake. Japo jeuri hii ni ya muda.
 
Tulia wewe kijana, utamnyoosha nani wewe? Hii ni nchi sio genge la wahuni watukana matusi. Omba omba akitua Bongo ana kesi ya kujibu msaliti mkubwa

Yaani kwa Afrika kesi za kubambika ni jambo la ajabu? Kesi hiyo itakuwa ya kwanza kwake? Kwa taarifa yako ana kesi zaidi ya moja, acha hizo anazozisimamia. Anaweza hata kufungwa ila sio kwa makosa bali kwa utashi wa mkulu.
 
Wewe kama wewe na taifa kwa ujumla tumefaidika na nini kwa tundu lisu kuvuliwa ubunge. Zaidi ya hasara ya kurudia uchaguzi wa jimbo hiyo pesa si wangekuja kutulipa wakulima wa korosho pesa yetu kuliko ushenzi wanaoufanya
 
Swadakta!
 
Mbona wahanga wa ajali huwa wanaalikwa hadi studio za televisheni kuelezea yaliyowakuta huku wakiwa bado wanajitibu.

Lissu nae alialikwa kwenda kuelezea ajali iliyomkuta nje ya kumbi za Bunge tukufu.
Kualikwa sawa, kutoa taarifa sehemu anayolia hapana?, acha ale jeuri yake
 
Kualikwa sawa, kutoa taarifa sehemu anayolia hapana?, acha ale jeuri yake
Mbona Tanzania diaspora walimualika BBC VOA wote walimualika chuki zenu tu ila kumbuka ndio kwaanza movie inaanza kwenu ni very bad timming mmeifanya kimuhemko zaidi ili kufukia ile aibu ya Misri ila ngojeni
 
Nawe ni msomi????
 
Uko sawa sheria ni sheria wasilitazame kimoyo wa huruma
 
Kama mazoezi angeanzia na kujaza forms hizo
 
Kama mazoezi angeanzia na kujaza forms hizo
Uko vizuri waombe wakuongezee posho...
Swali la kawaida: wakati anaondoka nchini form zake za uhamiaji zilijazwa na kutiwa sahihi na nani? Ndege iliyombeba ilipewa kibali na nani? Tukipata majibu hapo nadhani tunaweza kujadili zaidi...
Kinyume na hapo endelea kujilisha upepo "utakumbukwa na wakubwa..."
 
Kama mazoezi angeanzia na kujaza forms hizo
Nimeuliza swali nalirudia tena zile "immigration declarations form" zilijazwa na nani wakati mh. TL anaondoka Dodoma? Mkinipatia jibu hapo tunaweza kujadili....
 
Alikutaarifu kuwa anafanya zuara unajua maana ya neno ziara au unasukumwa na ushoga mlionao hapo ccm pamoja na mapunga wenzio mliopo hapo ccm. Subirin tuwanyooshe na mtanyooka tu.
Kumbe ilikuwa ni nini mkuu?
Kuna nyuzi kibao humu mkijichetua mara atakuwa ziara Marekani mara ujerumani, au unataka tuweke hizo nyuzi hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…