Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Jul 30, 2016 #2 Mgonjwa ni yupi hapo
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Jul 30, 2016 #3 Mgirik said: Mgonjwa ni yupi hapo Click to expand... Aliyevaa nguo nyeupe
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Jul 30, 2016 #4 Bila shaka kuna maamuzi ya kichwa flani ambayo huwa yanapunguza maamuzi yenye busara
damian marijani JF-Expert Member Joined Jan 31, 2010 Posts 695 Reaction score 466 Jul 30, 2016 #5 Jamani huyu dada hana huruma, jamaa yupo kwenye oksijeni bado anamsogezea vitu vya hatari!
1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,274 Reaction score 13,790 Jul 30, 2016 #6 damian marijani said: Jamani huyu dada hana huruma, jamaa yupo kwenye oksijeni bado anamsogezea vitu vya hatari! Click to expand... Kwa kuangalia kwa umakini hii picha sina hakika kama huyo mwingine mwenye nguo nyeupe ni 'dada', sijui lakini...
damian marijani said: Jamani huyu dada hana huruma, jamaa yupo kwenye oksijeni bado anamsogezea vitu vya hatari! Click to expand... Kwa kuangalia kwa umakini hii picha sina hakika kama huyo mwingine mwenye nguo nyeupe ni 'dada', sijui lakini...
vollies JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 748 Reaction score 446 Aug 2, 2016 #7 Huyo mgonjwa anatiwa majaribini wallahi tena
Benny JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 3,275 Reaction score 5,420 Aug 2, 2016 #8 Nahisi ni picha ya kuonyesha upendo labda kutoka kwenye movie au photographers...hospital hawawezi kuruhusu hii
Nahisi ni picha ya kuonyesha upendo labda kutoka kwenye movie au photographers...hospital hawawezi kuruhusu hii
kishaija JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,049 Reaction score 1,205 Aug 2, 2016 #9 Mbona kama mgonjwa ndo aliemkwida mzima!!