Mgomo wanukia UDOM.

KWETU PAZURI

Senior Member
Oct 14, 2011
161
26
Hii ni kutokana na wanafunzi kutokupewa bum la pili hadi sasa na kuna wengine hilo la kwanza bado, baadhi ya wanafunzi wameskika wakisema hawatajali uwepo wa hati za viapo vya kutokugoma. Ukienda ofisi za bodi ya mikopo hapa kanda ya kati, wao wanasema pesa ipo chuoni, sasa wanafunzi wanajiuliza nn kinasababisha uchelewashaji huu.

Hakuna haki inapatikana bila mgomo.
 
Nyie andamaneni muone, kama kawaida wote nyumbani zen watu wengine wasepeshwe.
 
Back
Top Bottom