Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

Sasa hapo tutaelewa nini? kama ujapata habari kamili kaa kimya sio kutupa uharo hapa...........
Mama naomba uheshimu uwepo wa hii habari.unajua nimeweka hii ili mjue sasa unataka kujua zaid ni nin?mengne yatafuata.matusi hua hayana nafasi humu.
 
watu wengine bwana!!!! iyo ndo hali ilivyokua...............................................so what??????
 
Sijapata kuona nini hasa kinatokea ila nimesikia mabomu kama matano hivi hapo mjini. Wanafunzi wa UDOM walikusanyika Nyerere square na kuanza maandamano yao kwenda bungeni, hapo walikutana na fanya fujo uone.
 
Mama naomba uheshimu uwepo wa hii habari.unajua nimeweka hii ili mjue sasa unataka kujua zaid ni nin?mengne yatafuata.matusi hua hayana nafasi humu.

Narudia tena huo ni uharo toa hapo............tena inawezekana wewe haupo Dodoma,mimi nipo Stand ya mabasi Dom hapa,hakuna hata dalili za mabomu,kama huna cha kuandkia si lazima uandike...kukaa kimya au kuchangia thread za wengine ni vema zaidi kuliko kuleta uchafu hapa...na wewe unasema umeleta habari...
 
Tatizo ni kusoma UNGWINI ndio maana mnakua wapuuzi, hamna ushirikiano na migomo yenu ni yakijinga! Fuatilieni migomo ya COET UDSM ikiwa kuna kitu muhimu kugomewa watu wanajipanga na kufanya kweli! Nimeamini UDOM ni chuo cha kata na wamejaa vilaza . . .
 
we mbuz kweli,kwa hyo field sio muhim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…